Hahahah malkia wa nguvu sio?kumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] role model wetu!!jamaniikumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
[emoji1] [emoji1]kumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] role model wetu!!jamanii
Ndio si wadada wanaopenda slopeKwa kukamata wa umri mkubwa?
Pesa ndio unafiki wa kwanza siwezi msemea lakini pasipo pesa huyo mengi angemfuata kumtongoza angepewa matusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha mungu niepushe na unafiki huuPesa ndyo maisha,pesa inaweza kukufanya handsome hata kama uso unamakunyanzi!
FactPesa ndyo maisha,pesa inaweza kukufanya handsome hata kama uso unamakunyanzi!