Jacob Zuma marries again

Jacob Zuma marries again

Bull huo si utamaduni wa Afrika,ni wa kizulu!Karne ya 21 ni out of date.Ina maana huyu ni sex addict ,kila siku ya Mungu lazame apate sex!Nchi ina matatizo mengi,AIDS,poverty,Unemployement ,Power Cuts etc.

Wazulu ni backward,wanahusudu kurape wanawake,nafikiri kabila hilo linaongoza kurape wanawake duniani.

Huu ni utamaduni wakiafrika kuowa wake wengi, kuanzia machifu wetu mpaka mtu wa kawaida

Tunaukimbia tu baada ya kuambiwa na wazungu kuwa ni utamaduni mbaya eti umepitwa na wakati, Kwasababu hatuwezi kutetea tamaduni zetu tunapo pambana na wazungu, ni makabila machache afrika ndio wameamua kudumisha tamaduni za kiafrika ambao ni pamoja ya kuowa wanawake wengi.

Wakati umefika waafrika tujiamini na mambo yetu, vinginevyo mtaletewa tamaduni za ajabu kama ushoga n.k ndio mtaona ni maendeleo ya 21 century
Wake up guys!!!!
 
LAITI INGEKUWA MIMI BWANA.. Nina wivu sana naye... ana bahati ehe?
 
Safi sana Zuma! Dumisha mila..achana na hizo longo longo za modernity wanatuletea....wazungu...

Safi sana huo ndio uwanaume na uafrika..siyo longolongo ya mke moja..aagh!

Only brain washed ndio watakao lalamika lalamika! Hongera Zuma kwa kuendeleza utamaduni wa kiafrika
Nyie hapo juu ndio miafrika kweli kweli. Hakuna cha mila, utamaduni wala mamayake. Hii ni pure stupidity motivated by ignorance. Ati mila, mila my #@&%!*. Kama ni mila kwa nini hamfuati mila za kurithi wake? Mnachagua mila halafu mnaleta upuuzi hapa. shwain

Huu ni utamaduni wakiafrika kuowa wake wengi, kuanzia machifu wetu mpaka mtu wa kawaida

Tunaukimbia tu baada ya kuambiwa na wazungu kuwa ni utamaduni mbaya eti umepitwa na wakati, Kwasababu hatuwezi kutetea tamaduni zetu tunapo pambana na wazungu, ni makabila machache afrika ndio wameamua kudumisha tamaduni za kiafrika ambao ni pamoja ya kuowa wanawake wengi.

Wakati umefika waafrika tujiamini na mambo yetu, vinginevyo mtaletewa tamaduni za ajabu kama ushoga n.k ndio mtaona ni maendeleo ya 21 century
Wake up guys!!!!
Acha kuwasemea waafrika maana wewe siyo.

South Africa President Jacob Zuma 'to marry third wife'

_47010647_zumasafp.jpg

slide_4262_59962_large.jpg
Huyo baba yenu mmnayemsifia kuwa anafuata mila mbona havai majani na badala yake anavaa suti, kwani suti imetoka wapi kama si magharibi? Hata hapo alipovaa ngozi baada kiatu kimetoka kwa hao hao manaowatukana
 
Wajameni!
Waafrika (watu weusi) ndivyo walivyo akishapata vijisenti au madaraka akili inahamia kwa kuongeza wanawake. Huo upuuzi kuhusu mila its all rubbish. Rais amabaye kweli anachukulia dhamana ya uongozi na mahiri hawezi kuwa na muda wa kuattend five wives unless awe msani kama JAKAYA MRISHO KIKWETE . Hebu mwaangalie huyo Vasco Da Gama anakwenda kumwangalia Drogba wakati hatuoni mkakati wa kitaifa wa kuwasaidia Wakaguru waliokumbwa na mafuriko huko Kilosa hata kwenda kuangalia anaona noma wanamwachia mhuni Mustafa Mkullo ili ajipatie ujiko wa kura ifikapo Octoba!!!! Kalakabaho Uchumi wa RSA utaendelea kushuka hadi ufikie kiwango cha Bongo after a few years kama Wapenda wake wengi kama zumbukuku Jacob Zuma mwenye elimu ndogo kiasi kile wataendelea kuwekwa madarakani kwa kisingizio cha ukubwa wa Kabila au Dini!!!
 
Back
Top Bottom