Jackline wolper na wema kumwagwa steps awards

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Wasanii classic,next level na wenye majina makubwa apa bongo,wema sepetu na jackline wolper wamemwagwa kwenye kinyang'anyiro cha muigizaji bora wa kike,waliokuwa wanawania tuzo za mwigizaji bora wa kike ni odama,riyama,aunt ezekiel, irene uwoya na wastara ambapo tuzo hiyo ilikwenda kwa irene uwoya..
 
Back
Top Bottom