Jackline Wolper asema ameokoka sasa, anaenda mbinguni

Mkuu wala sipaniki ila hawa wasanii bhana mpaka tushuhudie sisi sio wao watushuhudie. Chidumule, makassy, chakachaka hao sawa tumewaona!! Si haqa wabeba misalaba mikuuuuubwa shingoni
hahahaha kumbe na Makassy Junior aliokokaga? uuuwi long time sijamsikia
 
Back
Top Bottom