ikiwa ww ndo kocha wa england na una nafasi 1 tu ya kiungo imebaki na una machaguo mawili tu aidha kumchezesha jack 10 au cleverly embu niambie nani utamuweka na kwa sababu gani
Cleverly no doubt, he is more matured than Jack, anacheza box to box, can see a killer pass na mfungaji mzuri wa magoli plus ana winning mentality unlike his counter part
Cleverly no doubt, he is more matured than Jack, anacheza box to box, can see a killer pass na mfungaji mzuri wa magoli plus ana winning mentality unlike his counter part
Umenena vema mkuu Mourinho Jack Wilshere ni kijana mzuri lakini bado anakibiliwa na tatizo la kutokomaa na kushindwa kukabili tension ya mchezo, hili limemweka matatani mara kadhaa na kuishia kupata either yellow card ama red card kabisa. Tom Cleverly kwa kweli anacheza kwa utulivu na tahadhari sana ingawa pia nae sometimes tension hutaka kumzidi kimo but he's the best compared to Jack.
Cleverly no doubt, he is more matured than Jack, anacheza box to box, can see a killer pass na mfungaji mzuri wa magoli plus ana winning mentality unlike his counter part
ikiwa ww ndo kocha wa england na una nafasi 1 tu ya kiungo imebaki na una machaguo mawili tu aidha kumchezesha jack 10 au cleverly embu niambie nani utamuweka na kwa sababu gani
Ujembe wake ni nini? Kamzidi Cleverly kwa kipi? Wewe ndio unaongea ushabiki kwa sababu hujatoa vigezo vinavyomfanya Jack Wilshere bora zaidi ya Cleverly or else useme Jack ana potentials za kuja kuwa kiungo mzuri kama Steve G may be, but until then!
Ukitaka kujua Wilshere ni noma muulize Xavi na Busquet na Barcelona yao,ile game waliyokalia 2 - 1 pale Emirates Wilshere aliwafunika pale kati. ni kweli ana tension ya game na kucheza rafu sometimes ila JW ni zaidi ya Cleverly hata hii game ya Man City na Arsenal ya juzi City walipata naye shida sana.