habari zenu wakuu,mimi nipo hapa bongo nataka kufungua account ya paypal.. Hivi inawezekana kwa hapa bongo, mwenye nayo naomba anielekeze na jinsi ya kudeposite hela na n.k... Nisaidieni wakuu
Kwanza watakiwa kuwa na kadi ya benki yenye visa au mastercard.
Baada ya hapo nenda online kwenye web ya paypal na u link card yako ya visa/mastercard na paypal.
kama hujaelewa uliza.