J3-JPili, tar1-31, Jan-Dec yuko ndani tu; utaacha kumegewa? Badilikeni jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

J3-JPili, tar1-31, Jan-Dec yuko ndani tu; utaacha kumegewa? Badilikeni jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Nov 24, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Embu tuwe wakweli jamani
  sio kwamba nimekuja kuwatetea hawa mabinti ila naona ni wakati na jukwa amaalum kuwafundisha wanandoa jinsi ya kuishi nao..kuna wakati unakuta madada wanafanya kazi kweli wakifika jumapili wanaomba kuwaona ndugu zao..mama anakuwa kishambenga umekuja kuangalia ndugu ehhh utafungasha

  jamani ifike sasa tukue jamani;embu fikirieni wao SI BIN -ADAM nao wanaitakji kuguswa hata kama anakuheshimu kwa kutokuletea hapo ndani ukiwa aupo lakini ukweli ni kwamba nyumba nyingi mkiondoka hboy wa jirani wanakuja kuwatunza hgrl wenu humo ndani na kama unamwachia chumba afanye usafi wanasemaga ngoja tuonje ladha anayopata na mumewe humo ndani..so unakuta anakula uroda kwenye kitanda chako

  mi naomba leo tuwe waungwana mkiona wanaomba kwenda kwa jirani si lazima aseme kwenda kwa bwana wake jamani nimeona hili maana kumekuwa na msala wa makelele ya hgirl kumiliki nyumba za wanandoa lakini ukiangalia nyingi mmezianza wenyewe na wao wanafanya kuzimaliza


  mue na hekima jamani hawa ni binadamu embu angalia
  j3-jpili
  tar 1-31
  january-dec
  loh mwaka umeisha huo we unataka awe nyumban tu muda wote mumeo ataacha kukusaidia????????embu ombeni hekima jamani ukiona amekuheshimu na kukuomba atoke hata kwa mwezi mara mbili sio mbaya lakini wengine hata outing mnataka mtoke nae mbona mabwana zenu amwaachi nao ???
  Tukue hili naomba wapenzi aiiitaji kunywa valueeeeeeeee kuweza kumaliza matatizo ya madada wa nyumbani ni akaili na hekima

  pre friday njema
   
 2. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,023
  Likes Received: 7,403
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa yaliyokukuta ndugu.
  Lakini ndiyo dunia hiyo na ndiyo ukubwa huo, na uzuri wake ni kuwa umejifunza kitu na kuamua kujirekebisha vizuri zaidi umejitolea kuwatahadharisha wenzako.
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Asante kwa elimu.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ni hatari sana kumfungia hausi gel hasa unapokuwa na watoto wa kiume, atawapitia wote kwa mstari.

  Jpili lazima akatembee labda awe mgonjwa, tena peke yake hata kama ni kwa kumfukuza ila tu awahi kurudi.
   
 5. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Akipata mimba aje kwako!? cjawahi kuona maadili yakiivyo! na je km yy unampatia ruhusa ya kwa jamaa ake, atawafundsha nn watto wako wakati yupo njian anashikwashikwa!? pevuka!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  ok. . . . .
   
 7. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,376
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Kwakeli wa kwangu huwa nampa nafasi naye ya kwenda kutekenywa manake naye ni binadamu kama mimi na anahitaji sawa kama mimi.so huwa anapata ruhusa na akirudi anakuwa amechangamka na the following week kuanzia jtatu anakuwa kazi zinaenda vizuri.na pia najua boyfriend wake ila huwa namshauri sana amuulize huyo kijana anampango gani wa future?naongea naye sana hg na ananimbia mengi mno ambayo ningekuwa mnoko nisingeyapata.tuwe flexible jamani
   
 8. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,023
  Likes Received: 7,403
  Trophy Points: 280
  Other people bwana, I dunno what has gotten in your minds.
  Munaacha kusimamia maadili, na kutengeneza mazingira ya watu kutawala miili na hisia zao eti, mnashawishiana kuwasakizia ma-house girl wenu wakapigwe miti!
  Is that the only best you can do?
  Munashindwa na munashabikia kutokukuwa waadilifu juu ya miili na dhamira zenu, halafu mnakuwa mstari wa mbele kulaumu viongozi wasio waadilifu kwa mali za umma.
  I swear on the graves of our legends, kwa mwendo huu na aina hii ya watu ushoga katika nchi haukwepeki, hicho ndiyo kifuatacho IT.......
   
 9. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Yap ! Well done
   
 10. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,376
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Hg unamuelewesha kuwa atakapopatarafiki aangalie zaidi uwezekano wa kuwa mke mwema na sio jamvi la wageni kila mtu anakanyga na kupita.
   
 11. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,376
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Nakubalina na wewe mkuu manake hata yeye ni binadamu ana haki yake ya kupoata exposure kama wengine
   
 12. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  mwisho anampitia baba mzazi kuna familia hapa kimara mwisho imeteketea yote wanaume wawili na baba sasa amebaki mama tu uwezi amini na katika wanaume kuna aliekuwa na miaka 17 kumbe demu alikuwa na ngoma akaanza kaka wa mwanzo kwishna akafwata dogo kwishna akafwata baba kumbe alikuwa anakula mzigo nae kwishna mama amebaki anaendelea na zile dawa zetu ni hatari sana sana wana madhara makubwa kama hutowapa kinga ya kijamii watakuumiza nakwambia.....
   
 13. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  mkuu ushoga ni ngumu sana labda unianze wewe na uhakikishe nimefikia miaka 76 ndio unaweza kuniangusha else loh ushoga wa internert mpwa....
   
 14. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180

  mkuu waongo wanafiki awatauona ufalme wa mbingu lipi bora kuwa muwazi ama kushabikia uporontoto
   
 15. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi h/girl namchukulia kama mtoto wangu na mara nyingi wengi ni wadogo na akili zao hazijakomaa,hiyo habari sihiruhusu kwani wanangu wa kuwazaa sitawaruhusu.Ninachofanya ni kuwataadharisha na mapenzi kabla ya wakati na nimewaambia wawe huru kuniambia iwapo watalazimishwa na mwanaume.Na vijana ninaoishi nao nimewaambia wajiadhari na mabinti wa ndani kwangu jkwani likitokea la kutokea sitaangali wao ni ndugu sheria itachukua mkondo wake.
   
 16. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwani hiyo hausgirl aki pigwa miti na mpenzi wake kuna tatizo? Wewe mpenzi wako mlikuwa hampigani miti kabla hamjaoana(kama umeoa au kuolewa). Acha ukoloni,mti ni hitaji la kila aliyetimiza umri wa miaka 18 na zaidi. Mradi havunji sheria za nchi(asiwe changudoa!).Kwa nini umbague housegirl? Yeye si bin adam?.
   
 17. samito

  samito JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ushaur wako haujajaa hekima japo umegusa swala muhm, nadhan ni bora umruhusu kuhudhuria sana kanisan au au kwaya
   
 18. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,023
  Likes Received: 7,403
  Trophy Points: 280
  Kwa mtazamo utazamikao katika macho na kili dhahiri za waonao, hakika nakuambia katika mazingira ya mashinikizo ya kiuchumi, na kimihemuko, ushoga katika jamii hii ni inevitable.
  Tumekuwa watu wepesi wa kukata tamaa na tunaodhani ngono ndiyo ngome salama iliyobaki.
  Yaani mnajajaribu kunishawishi kuwa as human kind we are out of options kwa kiwango hicho? Leo house girl, kesho mtoto wako, naye utamshauri kufanya hayo hayo? Unadhani kwa kumtengenezea mazingira ya kufanya au kufanyiwa hivyo, tunamuandaa vp mtu huyu kwa malezi ya mtoto wako?
   
 19. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,023
  Likes Received: 7,403
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo of all the options ngono ndiyo ngome salama pekee iliyobaki kwa mwanadamu kuitegemea?
  Sisemi kwamba watu hatufanyi, lakini siyo katika kiwango cha kutoona njia nyingine mbadala na si kwa kiwango cha kusakizia wengine nao wajitumbukze huko.
   
 20. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,023
  Likes Received: 7,403
  Trophy Points: 280
  Big up, na Huo ndiyo uwajibikaji, na siyo watu wanakimbia majukumu kwa kurahisisha eti ili uwe salama inabidi umruhusu akapigwe miti, ni heri kutoanzisha familia kuliko kuwa na uoga wa namna yao.
   
Loading...