what is your take Mstahiki?
I can see is the problem to many africans and arabs regardless of their religions.
My grandfather had six wives in Mbeya, and he was proud of that.Because of religions influences today we have so many christians that are having nyumba ndogo; for them is Ok, so long is not legal wife! for muslim is not a question we all know that they believe in having many wives and they are smart in doing so!
My take is that if we consider all human are equal regardless of their gender then marrying many wives is not humanly behaviour is like people are trying hard to be like wild animals my grandpa is one of them so he is JK and many africans
Mimi nikionaga kuna wanawake wameolewa wengi na wanakubali, huwa kuna kitu kuna kitu kinakaa kooni na kutaka kusema; are you real human with perfect feelings of love?? then what? kwa nini wanageuzwa kama wale akina dada wa mitaani hawana thamani wala nini kuwa mwanaume akishakuwa na haja zake basi anawapanga tu!
pengine niko peke yangu, ila wanawake wanaoolewa wengi huwa naona kuna tatizo sehemu,
sijatukana mtu maoni yangu jamani!
tuwakomboe wanawake naona wanaonewa sijui
Few months ago three well educated white Americans were on Oprah talking about their marriage to the same person. They defended their decision to be involved in a polygamy marriage and they stated that although there were some challenges in their marriage but were so happy and would make the same decision again in a heart beat.
Kwa hiyo hata watasha ambao madarasa yamepanda wanaanza kuunga mikono na miguu kwenye ndoa hizi.
Watasha wao wameshavuka hatua zote za kinyama za maisha ya relations; polygamy, same sex marriages, kulala na wanyama, artificial things, next wataanza kuparamia miti!
My take ni kuwa kwa dunia ya sasa hasa ukija kwa wenzangu wakristo, naona the best moral relations ni mke mmoja kwa mume mmoja, kama ilivyo sheria ya kikristo.
Tatizo ni wenye hizo best moral standards wanaposhindwa kuzitekeleza. So acha watu wawe huru wafanye watakavyo waishi wanavyotaka. Ila kwa yule anayetaka kuwa mkristo basi inabidi kweli aonyeshe tofauti. kwa wakristo hata mkitoa mafungu ya hamsini achana na ya kumi; polygamy, nyumba ndogo ni dhambi!!
I hate leo tuanze kumsema JK , wakati tuna mifano na shuhuda za watu wanavyoishi mitaani mwetu, ulaya divorce ndiyo usiseme, kila kona relation zinasumbua kiasi cha kuwa ukimyooshea kidole mwenzako kweli uwe umekamilika.However, I am not happy about polygamy I hate it.
Kuna jamaa mmoja alikuwa 'anamnini' housegirl wake, nikamwambia sasa kwa sheria ya dini zenu si uoe tu, kuliko kutoka nje ya ndoa; akacheka akasema nani kakuambia kulala na housegirl ni kutoka nje ya ndoa? si yumo humohumo ndani ya nyumba? kwani nyumba si ni ndoa! au haujui maana ya unyumba wewe?? nikachoka!
In spiritual ways of thinking; kwa sababu babu wa babu zetu walikuwa na wake wengi na hii karibu makabila yoote hata wajukuu zao watakuwa na misukumo ile ile (spirit ile ile ya kuwa na wake wengi) kukwepa hiyo hali ya mababu zetu inabidi ujue solution, hapa sio mahali pake tukutane kwenye jukwaa la dini!
kama ni tatizo basi siyo kwa JK tu; kama ni sifa JK cha mtoto!, Zuma ndiyo kabisa yeye hata wenye HIV hana tatizo
Mkuu point kubwa sana hiyo hapo nilipoweka rangi. Kama mama hana matatizo ya mwenzake kuwa na mke zaidi ya mmoja basi waachiwe wenyewe bila kuwaingilia katika ndoa yao. Watajuana wenyewe na muumba wao siku ya siku.