Nimeipenda kauli hii, tuitafakari.
"Maendeleo ya viwanda yanahusiana na aina ya viongozi tulionao, katika uchaguzi huu chagueni vizuri, kama tukichagua viongozi walio sehemu ya waliotengeneza matatizo haya hatutapata suluhu ya tatizo" - by j makamba.
Source mwananchi jumapili uk 6.
"Problem can not be solved by the same level of thinking that created them" by rev Msigwa siku nyingi tu tangu 2010
Ni kauli nzuri na ya kizalendo
kama hajui,walioua viwanda ni ccm,awe anaweka akiba ya manenoNimeipenda kauli hii, tuitafakari.
"Maendeleo ya viwanda yanahusiana na aina ya viongozi tulionao, katika uchaguzi huu chagueni vizuri, kama tukichagua viongozi walio sehemu ya waliotengeneza matatizo haya hatutapata suluhu ya tatizo" - by j makamba.
Source mwananchi jumapili uk 6.
"Problem can not be solved by the same level of thinking that created them" by rev Msigwa siku nyingi tu tangu 2010
umeona eeh,umemsikia Mwigulu,eti nae alaumuWana CCM wenyewe wanakesha wakiwahimiza wananchi kutokuichagua CCM...
Hapa nadhani tatizo ni wananchi wenyewe...Kwani wengi hawana uwezo wa kufikiria zaidi ya njaa zao...!!