J. Makamba: Walioua viwanda wasichaguliwe

J. Makamba: Walioua viwanda wasichaguliwe

ukuta2013

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
275
Reaction score
98
Nimeipenda kauli hii, tuitafakari.

"Maendeleo ya viwanda yanahusiana na aina ya viongozi tulionao, katika uchaguzi huu chagueni vizuri, kama tukichagua viongozi walio sehemu ya waliotengeneza matatizo haya hatutapata suluhu ya tatizo" - by j makamba.

Source mwananchi jumapili uk 6.
 
"Problem can not be solved by the same level of thinking that created them" by rev Msigwa siku nyingi tu tangu 2010

..CCM ndiyo waliosababisha haya.

..Makamba ni mwana-CCM.

..Je, ina maana anatuambia tusichague CCM?

..halafu kama ana-guts awaambie Mzee Mwinyi, na Mzee Mkapa, kwamba ndio walivizika viwanda vya nchi hii.

cc Kimweri, Kasheshe
 
Last edited by a moderator:
Wana CCM wenyewe wanakesha wakiwahimiza wananchi kutokuichagua CCM...

Hapa nadhani tatizo ni wananchi wenyewe...Kwani wengi hawana uwezo wa kufikiria zaidi ya njaa zao...!!
 
Wavuane nguo wao kwa wao nayeye ni mmoja wao walioua viwanda chin ya utawala wamafisadi
 
Nimeipenda kauli hii, tuitafakari.

"Maendeleo ya viwanda yanahusiana na aina ya viongozi tulionao, katika uchaguzi huu chagueni vizuri, kama tukichagua viongozi walio sehemu ya waliotengeneza matatizo haya hatutapata suluhu ya tatizo" - by j makamba.

Source mwananchi jumapili uk 6.

"Problem can not be solved by the same level of thinking that created them" by rev Msigwa siku nyingi tu tangu 2010
kama hajui,walioua viwanda ni ccm,awe anaweka akiba ya maneno
 
Viwanda vimekufa au vilivyokuwa hai viliuawa zaidi na mzee Ben, mzee Ben ndo alifadhili masomo ya huyu kijana Marekani na huenda fungu la kumsomesha lilipatikana baada ya kuuza/kuua viwanda....dogo awe na shukrani
 
CCM ndio walioua viwanda.Wameleta umaskini mkubwa kwa Watanzania.Ref.General Tyre Arusha,wafanyakazi zaidi ya 1000 wameharibikiwa maisha baada ya kiwanda kusitisha uzalishaji matairi.
Hakika hiyo dhambi haiwaachi.
 
Huyu Makamba ndio sitaki kabisa hata kumsikia wamemkataa jimboni kwake sembuse awanie urais. Ikulu siku izi kila MTU anaweza.
 
Maccm yamepagawa,wewe JM umeshindwa kuendeleza kiwanda cha chai jimboni kwako Bumbuli kwasababu ya migogoro yenu ya kiccm leo unatoadvizi nini!
 
Back
Top Bottom