Izi akili au matope?

Izi akili au matope?

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Unamkuta

mtanganyika anataka mungano uvunjike ili wapemba warudi kwao, na yeye
arith nyumba na maduka ya wapemb na mali nyengine za wapemba, haliyakua
watanganyika hawanautamaduni wa kunufaika na rasilimalizao, hizo ndio fikara za WAMRIMA (WATANGANYIKA) weng hasa walala hoi km hamuamin fanyen uchunguzi, au utamkuta MTANGANYIKA analalamika haruhusiwi kumilik ardh zanzibar wakati hata kule kijijini kwao alikozaliwa hana ata mita moja ya ardhi, Acheni
kubweteka fanyeni kazi, kma hamjanufaika na migodi ya dhahabu na almas
n.k mutawezaje kunufaika na mali za wapemba zilizokua hamuzijuwi uchungu
wake?
 
NYERERE KASHAKUFA Kwa iyo mchaniaji yoyote atakae changia achangie kwa mawazo yake sio alete fikra za NYERERE ALAIH LAANATULLAH.
 
Lazma rudi pemba

Iyo kitu nafurahia sana , katika vitu ninavojivunia chakwanza UISLAMU wangu chapili Upemba pamoja na uzanzibari wangu. Kwanza nirudi pemba kutoka wapi? ASUBUH PENDELEA KUANZA NA CHAI BADALA YA VIROBA.
 
Unamkuta

mtanganyika anataka mungano uvunjike ili wapemba warudi kwao, na yeye
arith nyumba na maduka ya wapemb na mali nyengine za wapemba, haliyakua
watanganyika hawanautamaduni wa kunufaika na rasilimalizao, hizo ndio fikara za WAMRIMA (WATANGANYIKA) weng hasa walala hoi km hamuamin fanyen uchunguzi, au utamkuta MTANGANYIKA analalamika haruhusiwi kumilik ardh zanzibar wakati hata kule kijijini kwao alikozaliwa hana ata mita moja ya ardhi, Acheni
kubweteka fanyeni kazi, kma hamjanufaika na migodi ya dhahabu na almas
n.k mutawezaje kunufaika na mali za wapemba zilizokua hamuzijuwi uchungu
wake?

Matope yananafuu....
 
???? Wenzangu mmeelewa?

Huwez kunielewa mpaka gongo ya mama chikundu itoke kichwani ndo unielewe, wala c kulaumu mana uelewa wenu mdogo sana ndio ikawa munapinga ukeketaji wakati NGARIBA ndio diwani wa kata au mwenyekiti wa mtaaa.
 
Tumechoka na kelele zao. Mali zao hatuna shida nazo, kama zinahamishika, wabebe waende nazo. Watu gani wasio na shukrani? Waishie zao tu.
 
Iyo kitu nafurahia sana , katika vitu ninavojivunia chakwanza UISLAMU wangu chapili Upemba pamoja na uzanzibari wangu. Kwanza nirudi pemba kutoka wapi? ASUBUH PENDELEA KUANZA NA CHAI BADALA YA VIROBA.

Karibu kitimoto yahe
 
Unamkuta

mtanganyika anataka mungano uvunjike ili wapemba warudi kwao, na yeye
arith nyumba na maduka ya wapemb na mali nyengine za wapemba, haliyakua
watanganyika hawanautamaduni wa kunufaika na rasilimalizao, hizo ndio fikara za WAMRIMA (WATANGANYIKA) weng hasa walala hoi km hamuamin fanyen uchunguzi, au utamkuta MTANGANYIKA analalamika haruhusiwi kumilik ardh zanzibar wakati hata kule kijijini kwao alikozaliwa hana ata mita moja ya ardhi, Acheni
kubweteka fanyeni kazi, kma hamjanufaika na migodi ya dhahabu na almas
n.k mutawezaje kunufaika na mali za wapemba zilizokua hamuzijuwi uchungu
wake?

Kama akili zenyewe ndiyo hizi, hiyo pemba itakuja kuendelea kweli???? punguza urojo shekh
 
Huwez kunielewa mpaka gongo ya mama chikundu itoke kichwani ndo unielewe, wala c kulaumu mana uelewa wenu mdogo sana ndio ikawa munapinga ukeketaji wakati NGARIBA ndio diwani wa kata au mwenyekiti wa mtaaa.

ahahahaaa kumbe huwa unamsikliza kafir ROMA kiasi cha kukariri mashairi yake??
 
Huyu kaweka VALUER kwenye urojo ndo ikamtuma kutundika uzi huu, si bure.
 
Hivi wapemba wanavyo nufaika na rasilimali za watanganyika, siku tukisema koloni letu Zanzibar mpo huru. Hawa watu wataishije ili hali wamekwisha zoea huyatima??
 
Wazanzibar huwa wananishangaza pale wanapotukana asili yao...

Sijui hawajui ya kwamba wengi wao ni Watanganyika ambao enzi za ukoloni walipelekwa Visiwani kama manamba kwenye mashamba ya karafuu.

Pia wengine waliuzwa huko kama watumwa waliotolewa sehemu za bara ya Afrika Mashariki.

Msihadaike kwa kuwa mwaongea kama mmebana pua au kuwa na nywele laini kama zimelambwa na ulimi wa ng'ombe mkajiona tayari ninyi ni watu wa asili nyingine.

Hayo ni matokeo ya mtu mweusi(mwanamke) kuzaa na waarabu wa wakati huo tena wengine walifikia hadi kubakwa. Baada ya mchanganyiko huu wa vizazi kama vinne au vitano hivi ndio leo mmetokea ninyi wenye vichwa bapa kama jiwe la kusagia ulezi na sauti nyororo kama waimba opera.
 
Wazanzibar huwa wananishangaza pale wanapotukana asili yao...

Sijui hawajui ya kwamba wengi wao ni Watanganyika ambao enzi za ukoloni walipelekwa Visiwani kama manamba kwenye mashamba ya karafuu.

Pia wengine waliuzwa huko kama watumwa waliotolewa sehemu za bara ya Afrika Mashariki.

Msihadaike kwa kuwa mwaongea kama mmebana pua au kuwa na nywele laini kama zimelambwa na ulimi wa ng'ombe mkajiona tayari ninyi ni watu wa asili nyingine.

Hayo ni matokeo ya mtu mweusi(mwanamke) kuzaa na waarabu wa wakati huo tena wengine walifikia walibakwa. Baada ya mchanganyiko huu wa vizazi kama vinne au vitano hivi ndio leo mmetokea ninyi wenye vichwa bapa kama jiwe la kusagia ulezi na sauti nyororo kama waimba opera.

Haaa.... haaa....!!!! watu8 umemkandika dongo mpemba huyo ....!!!! halafu ajue hamna mwenye shida na maduka yao. Kisa cha kurithi majini humo.....!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom