Ni Ivory Coast vs Simba Mseto.
Ni Ivory Coast vs Simba Mseto.
Hivi na zile 5-0 kumbe yanga,! Mlilala reception!?Wameandama na kiongozi wao Rage?Nawaombea wasifungwe zaidi ya 8.Maana watasingizia wamelala reception.
ilikuwa ni tano bila, lakini yanga walifanya makusudi, walizembea makusudi kama adhabu ya kuwaadhibu viongozi wao kutokana na mgogoro uliopo....ni kama vile unaenda kuwinda, afu digidigi anakuja home kwako anaingia ndani anakaa sebuleni, utakachofanya pale wewe hutumii ujuzi wowote, wala ile mitego uliyozoea anayokusumbuaga kule porini, unaingia ndani unachukua kisu unamchinja,...lakini ni mteremko....kama kusingekuwa na mgogoro, simba ingefungwa na yanga kama ilivyo kawaida yao.....yanga oyeeeeeeeeeeeNaomba kujua mechi ya mwisho kati ya Yanga na Simba matokeo yalikuwaje....kama hujui usini jibu....!?
Naomba kujua
mechi ya mwisho kati ya Yanga na Simba matokeo yalikuwaje....kama hujui usini jibu....!?
Tuwe wastaarabu kidogo, timu ya Taifa imeshachaguliwa. Sioni kama kuna busara kuiita ya Tanganyika au Simba. Badili hiyo heading toka Tanganyika weka Tanzania. Na mambo ya utani wa Simba na Yanga yasijadiliwe kwanza, au muanzishe thread nyingine.
haya maelezo hayafanani na hali halisi,huwezi kuchafua historia ili kumkomoa nchunga. Tatizo la yanga,! Ni kuamini kuwa kila timu inayofungwa na Simba ni mbovu, sasa imetokea kwao na hawataki kukubali kuwa ni wabovu wanaanza visingizio , ooo... Wazee waliamua timu ifungwe ili kumkomoa nchunga. Mlifungwa sababu timu ilikuwa haina uwezo uwanjani.ilikuwa ni tano bila, lakini yanga walifanya makusudi, walizembea makusudi kama adhabu ya kuwaadhibu viongozi wao kutokana na mgogoro uliopo....ni kama vile unaenda kuwinda, afu digidigi anakuja home kwako anaingia ndani anakaa sebuleni, utakachofanya pale wewe hutumii ujuzi wowote, wala ile mitego uliyozoea anayokusumbuaga kule porini, unaingia ndani unachukua kisu unamchinja,...lakini ni mteremko....kama kusingekuwa na mgogoro, simba ingefungwa na yanga kama ilivyo kawaida yao.....yanga oyeeeeeeeeeee