MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Aug 19, 2009 #1 Kuna tetesi kuwa Ivo Mapunda amefukuzwa na St. Georges kimya kimya na kwamba Mkuu Ivo keshatua Dar kimya kimya, Wakulu tupeni Khabari ya Nambari one wetu na nini anataka kufanya. http://www.goal.com/en/news/89/afri...georges-axe-former-tanzania-custodian-mapunda
Kuna tetesi kuwa Ivo Mapunda amefukuzwa na St. Georges kimya kimya na kwamba Mkuu Ivo keshatua Dar kimya kimya, Wakulu tupeni Khabari ya Nambari one wetu na nini anataka kufanya. http://www.goal.com/en/news/89/afri...georges-axe-former-tanzania-custodian-mapunda
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2008 Posts 2,268 Reaction score 338 Aug 20, 2009 #2 Inasikitisha sana na je ni kosa gani kafanya?