Ivi uraisi wa jk unakoma lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ivi uraisi wa jk unakoma lini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njowepo, Nov 3, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Katiba ya Tz mparaganyiko wa hali ya juu.
  Kama JK bado ni raisi wa Tz mpaka leo then akishinda anaapishwa kwa ajili ya nini wakati bado hajautema huo uraisi.
  Na sasa JK anatambulika kama nani?
  Shein ni raisi wa Zanzibar kuanzia leo does that mean bado ni makamu wa raisi bse bado hajautema rasmi.
  Total confusion
   
Loading...