Mkuu,nakubaliana na ww urafiki hakuna siku hz,nakumbuka nlivodisco chuo marafiki wakanikimbia na mbaya zaid walinicheka na kunitangaza ovyo ata yule niliyempenda nae alibadilika tabia mwishowe akanitamkia live tuachane,to conclude the topic urafiki hakuna Ila tuna kampani tu na maisha yanasonga.