Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,661
- 184,067
helllow frnds how r doing!! napenda kuuliza juu ya suala la honey moon especially ktk hik kizaz chetu kilicholaaniwa! kiukwel vijana wa skuiz unakuta kabint kadogoo tayar kameanza kuingia kweny mapenz! yani si wanawake si wanaume balaa 2pu! so napenda kujua kuna umuhimu gan wa honey moon wakat watu wameshajuana kiundan long tym ktambo!!???