James alamba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 216
- 106
Je kama ni kweli nini chanzo?
Na tunafanyaje kukabiliana na ili tatizo asa kwa vizazi vijavyo.
Na tunafanyaje kukabiliana na ili tatizo asa kwa vizazi vijavyo.
Aisee, wife alikuelewa kweli au alidhani umegegeda nje ndo mana umechokaMimi sikuwahi kiwa na shida ya nguvu za kiume. Wiki iliyopita mke wangu alisafiri kwa muda wa wiki nzima. Baada ya yeye kusafiri siku ile ile nikaanzisha utaratibu wa kila siku jioni kufanya zoezi la kukimbia umbali mrefu. Amerudi jana nimeshindwa ku perform kabisa! Yani nimetumia muda mwingi kumuandaa lkn muda wote huo gegedo langu lilikua limenywea na hata liliposimama halikukakamaa vzr kiasi sikuweza kuingiza. Je, shida ni nini hasa? Ni mwili umechoka na lile zoezi au ni nini?
Hakunielewa alikua akiniuliza nimepatwa na shida gani? Binafsi niliumia sana.Aisee, wife alikuelewa kweli au alidhani umegegeda nje ndo mana umechoka
Pole sana, kwa sasa upo OK?Hakunielewa alikua akiniuliza nimepatwa na shida gani? Binafsi niliumia sana.
Punyeto na lorno ndo chanzo km unafanya hivo vitu at your own risk...shaur ykoMi nadhani chanzo ni life style yetu ya siku hizi. Vyakula na pia kutokuwa na ratiba za mazoezi ni sababu kubwa.
Tumekuwa wapungufu wa unywaji maji kwa wingi, badala yake twashindia soda, beers & wines. Hatufanyi mazoezi bali twakaa vijiweni ama maofisini kwanzia mwanzo wa siku mpaka mwisho.
Hatuli vyakula vyenye virutubisho bali twashindia chips, mayai ya kisasa na manyama ya kuchoma.
Kwa upande wangu siamini kama punyeto husababisha hicho kitu. Sijawahi kuta maelezo hayo kisayansi.
Inabidi tubadilike guys!
Mimi sikuwahi kiwa na shida ya nguvu za kiume. Wiki iliyopita mke wangu alisafiri kwa muda wa wiki nzima. Baada ya yeye kusafiri siku ile ile nikaanzisha utaratibu wa kila siku jioni kufanya zoezi la kukimbia umbali mrefu. Amerudi jana nimeshindwa ku perform kabisa! Yani nimetumia muda mwingi kumuandaa lkn muda wote huo gegedo langu lilikua limenywea na hata liliposimama halikukakamaa vzr kiasi sikuweza kuingiza. Je, shida ni nini hasa? Ni mwili umechoka na lile zoezi au ni nini?
Mazoez yanayo.shairiwa ni ya viungo na yasizidi kiasi cha nusu saa kila siku..mazoez yaliyopitiliza kiasi hizuia production ya hormone.aina ya testosteroneMimi sikuwahi kiwa na shida ya nguvu za kiume. Wiki iliyopita mke wangu alisafiri kwa muda wa wiki nzima. Baada ya yeye kusafiri siku ile ile nikaanzisha utaratibu wa kila siku jioni kufanya zoezi la kukimbia umbali mrefu. Amerudi jana nimeshindwa ku perform kabisa! Yani nimetumia muda mwingi kumuandaa lkn muda wote huo gegedo langu lilikua limenywea na hata liliposimama halikukakamaa vzr kiasi sikuweza kuingiza. Je, shida ni nini hasa? Ni mwili umechoka na lile zoezi au ni nini?
Umesema poa...ila punyeto.is one of the factor...ina athiri psychologicallyMi nadhani chanzo ni life style yetu ya siku hizi. Vyakula na pia kutokuwa na ratiba za mazoezi ni sababu kubwa.
Tumekuwa wapungufu wa unywaji maji kwa wingi, badala yake twashindia soda, beers & wines. Hatufanyi mazoezi bali twakaa vijiweni ama maofisini kwanzia mwanzo wa siku mpaka mwisho.
Hatuli vyakula vyenye virutubisho bali twashindia chips, mayai ya kisasa na manyama ya kuchoma.
Kwa upande wangu siamini kama punyeto husababisha hicho kitu. Sijawahi kuta maelezo hayo kisayansi.
Inabidi tubadilike guys!
mazoezi gani kwa mfanoMazoez yanayo.shairiwa ni ya viungo na yasizidi kiasi cha nusu saa kila siku..mazoez yaliyopitiliza kiasi hizuia production ya hormone.aina ya testosterone
Mkuu mimi sikua nimetumia dawa ya aina yoyote. Na nimeshapata ufumbuzi wa tatizo langu ni mwili tu ulikuwa umechoka kwa lile zoezi kali la kukimbia umbali mrefu kila siku jioni kwa wiki nzima ambayo mke wangu hakuwepo. Kwani baada ya siku na kesho yake pia sikuweza kuperfom ila kuanzia keahokutwa usiku gegedo lilikua linacmama mpaka maumivu na tangu pale napiga game kwa kiwango cha hali juu. Ila tangu pale ckufanya tena mazoezi!Ama kweli dawa zingine zina side effects
Mkuu wewe nadhani ndie mwenye suluhisho hasa la tatizo lililonipata. Maana tangu mke wangu aliporudi niliacha kufanya mazoezi sio tu kukimbia umbali mrefu ila sikukimbia tena hata kidogo. Baada ya siku mbili tu kupita siku ya 3 nilirudi kwenye uwezo wangu tena ikawa kama nimeongezea nguvu!Mazoez yanayo.shairiwa ni ya viungo na yasizidi kiasi cha nusu saa kila siku..mazoez yaliyopitiliza kiasi hizuia production ya hormone.aina ya testosterone
Mkuu punyeto na video za ngono bina mchango mkubwa katika hilo tatizo.Mi nadhani chanzo ni life style yetu ya siku hizi. Vyakula na pia kutokuwa na ratiba za mazoezi ni sababu kubwa.