Ivi ni kweli izi tafiti kuwa kila kwenye wanaume kumi wanne wana upungufu wa nguvu za kiume

mimi natibu shida hii tatizo ni kubwa kuliko unavyofikir sababu zifuatazo

PUNYETO
Katika wanaume kumi 9 waliwai kujichua
ukijichua unavunja mirija na mishipa aina ya vein inayofanya kaz ya kuzuia kutoka kwa damu pale artery inapoingiza damu kwenye uume na kuvimba hivyo ukijichua hata kama zaman ile mishipa imeguka nyama ya ya ndan na kuacha uwaz hivyo lock zinaondoka damu ikiingia tu uume unalala gafla ukiwa uken au kabla hujaingiza

blood presure kutojana na vyakula na mafuta haya huganda ndan ya mwili na kufanya mzunguko wa damu kua mdogo hivyo uume kua legevu

hiz ni key factor

jins ya kuepuka ni eat organic na shughulisha mwili japi three a week kwa zoez ili misuli iwe activr mimi natibu shida hii kwa elfu 20 tu natumia formula ya matunda manne tikt parachich karot ndiz na kuna zoez formula ina idad ya matunda hayo 0712505049
 
Mimi sikuwahi kiwa na shida ya nguvu za kiume. Wiki iliyopita mke wangu alisafiri kwa muda wa wiki nzima. Baada ya yeye kusafiri siku ile ile nikaanzisha utaratibu wa kila siku jioni kufanya zoezi la kukimbia umbali mrefu. Amerudi jana nimeshindwa ku perform kabisa! Yani nimetumia muda mwingi kumuandaa lkn muda wote huo gegedo langu lilikua limenywea na hata liliposimama halikukakamaa vzr kiasi sikuweza kuingiza. Je, shida ni nini hasa? Ni mwili umechoka na lile zoezi au ni nini?
 
Aisee, wife alikuelewa kweli au alidhani umegegeda nje ndo mana umechoka
 
Kuna watu huleta kejeli na maneno ya shombo kwenye hili jambo. Wanasahau kuna wenzao huteseka, hawana furaha.

Kama weww huna tatizo, kuna mwenzako lamnyima usingizi. Ndoa ipo matatani. Akiona kitanda, chozi lata kuja.
 
Mi nadhani chanzo ni life style yetu ya siku hizi. Vyakula na pia kutokuwa na ratiba za mazoezi ni sababu kubwa.

Tumekuwa wapungufu wa unywaji maji kwa wingi, badala yake twashindia soda, beers & wines. Hatufanyi mazoezi bali twakaa vijiweni ama maofisini kwanzia mwanzo wa siku mpaka mwisho.

Hatuli vyakula vyenye virutubisho bali twashindia chips, mayai ya kisasa na manyama ya kuchoma.

Kwa upande wangu siamini kama punyeto husababisha hicho kitu. Sijawahi kuta maelezo hayo kisayansi.

Inabidi tubadilike guys!
 
Punyeto na lorno ndo chanzo km unafanya hivo vitu at your own risk...shaur yko
 
Mimi sikuwahi kiwa na shida ya nguvu za kiume. Wiki iliyopita mke wangu alisafiri kwa muda wa wiki nzima. Baada ya yeye kusafiri siku ile ile nikaanzisha utaratibu wa kila siku jioni kufanya zoezi la kukimbia umbali mrefu. Amerudi jana nimeshindwa ku perform kabisa! Yani nimetumia muda mwingi kumuandaa lkn muda wote huo gegedo langu lilikua limenywea na hata liliposimama halikukakamaa vzr kiasi sikuweza kuingiza. Je, shida ni nini hasa? Ni mwili umechoka na lile zoezi au ni nini?

Ama kweli dawa zingine zina side effects
 
Mazoez yanayo.shairiwa ni ya viungo na yasizidi kiasi cha nusu saa kila siku..mazoez yaliyopitiliza kiasi hizuia production ya hormone.aina ya testosterone
 
Mi nadhani chanzo ni life style yetu ya siku hizi. Vyakula na pia kutokuwa na ratiba za mazoezi ni sababu kubwa.

Tumekuwa wapungufu wa unywaji maji kwa wingi, badala yake twashindia soda, beers & wines. Hatufanyi mazoezi bali twakaa vijiweni ama maofisini kwanzia mwanzo wa siku mpaka mwisho.

Hatuli vyakula vyenye virutubisho bali twashindia chips, mayai ya kisasa na manyama ya kuchoma.

Kwa upande wangu siamini kama punyeto husababisha hicho kitu. Sijawahi kuta maelezo hayo kisayansi.

Inabidi tubadilike guys!
Umesema poa...ila punyeto.is one of the factor...ina athiri psychologically
 
Tatizo hili lipo mjini zaidi ya vijijini,sababu kubwa ni staili ya maisha ambayo inafanya watu kula vyakula kama ,chips,baga,kuku wa kisasa,mayai ya kuku wa kisasa,nazi za makopo,nyanya za makopo,etc na mafuta ya chakula yanayotokana na mifugo au viwanda vya kusindika mafuta yasiyo na kiwango ambayo hupikia chakula cha mama ntilie mabarabarani.Tatizo hili linasababisha mwili kutofanya kazi vizuri na kuwa na mafuta yasiyohitajika na uharibifu wa mishipa ya damu ambavyo kwa pamoja na kupungua kwa ufanisi wa kongosho linalotengeneza insulin kunafanya watu wengi kuugua kisukari katika umri mdogo wa miaka 30.Ukiunganisha vyote nilivyotaja hapa pamoja na upungufu wa mazoezi ya mwili unakuta vijana wengi wadogo wenye miaka chini ya 30 wameanza kutumia viagra sababu nguvu za kiume zimepungua kwa kiasi kikubwa.
 
Ama kweli dawa zingine zina side effects
Mkuu mimi sikua nimetumia dawa ya aina yoyote. Na nimeshapata ufumbuzi wa tatizo langu ni mwili tu ulikuwa umechoka kwa lile zoezi kali la kukimbia umbali mrefu kila siku jioni kwa wiki nzima ambayo mke wangu hakuwepo. Kwani baada ya siku na kesho yake pia sikuweza kuperfom ila kuanzia keahokutwa usiku gegedo lilikua linacmama mpaka maumivu na tangu pale napiga game kwa kiwango cha hali juu. Ila tangu pale ckufanya tena mazoezi!
 
Mazoez yanayo.shairiwa ni ya viungo na yasizidi kiasi cha nusu saa kila siku..mazoez yaliyopitiliza kiasi hizuia production ya hormone.aina ya testosterone
Mkuu wewe nadhani ndie mwenye suluhisho hasa la tatizo lililonipata. Maana tangu mke wangu aliporudi niliacha kufanya mazoezi sio tu kukimbia umbali mrefu ila sikukimbia tena hata kidogo. Baada ya siku mbili tu kupita siku ya 3 nilirudi kwenye uwezo wangu tena ikawa kama nimeongezea nguvu!
 
Mi nadhani chanzo ni life style yetu ya siku hizi. Vyakula na pia kutokuwa na ratiba za mazoezi ni sababu kubwa.

Tumekuwa wapungufu wa unywaji maji kwa wingi, badala yake twashindia soda, beers & wines. Hatufanyi mazoezi bali twakaa vijiweni ama maofisini kwanzia mwanzo wa siku mpaka mwisho.

Hatuli vyakula vyenye virutubisho bali twashindia chips, mayai ya kisasa na manyama ya kuchoma.

Kwa upande wangu siamini kama punyeto husababisha hicho kitu. Sijawahi kuta maelezo hayo kisayansi.

Inabidi tubadilike guys!
Mkuu punyeto na video za ngono bina mchango mkubwa katika hilo tatizo.
 
Back
Top Bottom