Elly ceejr
Member
- Dec 24, 2016
- 51
- 17
Polen na mihangaiko ndugu zangun
Niende moja kwa moja kweny maada husika nlikuwa najarb kuwaza ivi ni nani anaweza kuwa mchezaj bora msimu huu wa 2018/2019 katka TPL ? na ukiangalia ligi inaelekea ukingoni. Kwa mtazamo wangu nadhani Ibrahim Ajibu Migomba kwa kuzingatia takwimu zake mpaka saiz akiwa na magol 6 na assists 16.Ingawa pia kuna wachezaj wengne wamefany vzur mfano Khamis Hassan ( Kagera sugar),Salim Aiye(Mwadui),Heritier Makambo(Yanga),Mk14(Simba),CCC(Simba)
That’s according to me. Your turn guys