ivi mwanamke huwa anapenda

ivi mwanamke huwa anapenda

Joined
Aug 1, 2013
Posts
24
Reaction score
3
naombeni mawazo yenu kwahi lililonikuta mimi kuna mwawanamke na mpenda sema nini najitahidi kumuonesha kama nampenda lakini mwenzangu haoneshi kama uko pamoja na mimi hili ninatokana na nini
 
Mkuu naona ungejaribu kukaa nae na kumuuliza nina imani atakupa jibu sahihi hasa ukizingatia jibu litakua limetoka kwa mlengwa.
 
Kwa kifupi ni hivi binadamu wote wanapenda hata mwanamke anapenda pia, inawezkana kuwa huyo mwanamke uliyempenda yeye hajakupenda na pia cku zote katka mapenzi ucmwonyeshe mtu unampenda kiasi gan kwa sabab ukimwonyesh undan wako au uhalisia wako kuhusu mapenzi atakutesa sana
 
naombeni mawazo yenu kwahi lililonikuta mimi kuna mwawanamke na mpenda sema nini najitahidi kumuonesha kama nampenda lakini mwenzangu haoneshi kama uko pamoja na mimi hili ninatokana na nini

Ukitaka mwanamke akupende "Mpe hela, we mpe hela, nasema mpe hela, narudia tena mpe hela.... baaaaaaaaaasi!!!!!!!"
 
Mkubwa mwanamke akipenda kapenda kweli usije ukatoa pesa kwa mwanamke hata cku moja kwa asiye mkeo cku huna jiulize itakuaje? na usije kumuonyesha mwanamke unampenda sana hapana wewe ushamu approch usionyeshe kumjal sana.
 
Mzee una uhakika unampenda? Usikute unamtamani afu ukipata kipochi manyoya unaanza kupotea

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hebu tueleze unafurahia nini kwenye hiyo avatar yakoa kwanza......ni mbaya kwa kifupi.
 
naombeni mawazo yenu kwahi lililonikuta mimi kuna mwawanamke na mpenda sema nini najitahidi kumuonesha kama nampenda lakini mwenzangu haoneshi kama uko pamoja na mimi hili ninatokana na nini

Unampenda? Yeye ana mtu? Uliwahi kuongea naye?
Jaribu kubadilisha badilisha approach na endelea kuangalia kama unapata +ve response toka kwake (Maana baadhi ya wanawake ni mpaka ufuatilie sana). Unaweza kumfuatilia kwa muda fulani ukiona bado jibu ni -ve, usimng'ang'anize, maana kupenda huwa hakulazimishwi.
Tafuta mwingine anayekupenda! Huna haja ya kubaki na majonzi.
 
Kwa kifupi ni hivi binadamu wote wanapenda hata mwanamke anapenda pia, inawezkana kuwa huyo mwanamke uliyempenda yeye hajakupenda na pia cku zote katka mapenzi ucmwonyeshe mtu unampenda kiasi gan kwa sabab ukimwonyesh undan wako au uhalisia wako kuhusu mapenzi atakutesa sana

Hii ni conclusion sio lazima. Ni hisia inayosemwa mara nyingi sana na wasiojiamini kiasi cha kudhaniwa ni kweli!
 
Back
Top Bottom