mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Nina miaka kadhaa sijawahi tandika kitanda.
Na kila siku nakikuta saafi, kuoa mama wa nyumbani raha kweli.
Oyee kwa wa mama wa nyumbani wote!
We mmbea kweli. . .
Nwy nilitaka kutandika nikaambiwa niache niende na shughuli zangu. Ila kwa kawaida hua kabla sijatoka nje kupiga mswaki natandika kwanza.
Mmmh, na wewe umeoa??
Kuna wengine kitanda kinatandikwa for a week, hakivurugwi..... lol.
Kuna wengine kitanda kinatandikwa for a week, hakivurugwi..... lol.
Kheeee. . .
Hivi kumbe hii ni ya "waliooa" tu?
very true dada, kama mimi..nkishatandika j2 baada ya general cleanliness basi ndo mtolee mpaka j2 ijayo..
siri ni kuwa na mashuka makubwa yanayochomekeka vizuri hata ujigeuzeje halichomoki...alafu ukiamka badala ya kuanza kulinyoshanyosha..unatandika blanketi juu...yaliyo chini ni siri yako mpaka j2 utakapobadili mashuka....!!!!!
NB: it all depends na ndoto ntakazoota katikati ya wiki, the schedule may change as sh*t happens!!!
Labda wasiokula usiku, hata kama hawali , how?