Ivi kesi ya Daudi Mwangosi ishia wapi jamani?

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,263
2,000
Nilikuwa nataka tu wanajamvi mnijuze kama mnafahamu kuhusu muuaji wa Daudi Mwangosi yupo wapi.Maana naona waziri aliye kuwepo wakati anauawa na wale polisi Bw.Nchimbi ndiyo anaondoka ivi.jambo kama ndiyo linaishia hivyo.Jamani Mwangosi ananiuma kama waandishi walivyo umia.Namfahamu tangu anapofungua ofisi yake na mara nyingi tuliongea nae pamoja.Unajua damu za watu kama hao huenda ndiyo zinazo leta sintofahamu kwenye vyombo vya ulinzi mpaka leo.
Unaweza kuamini vyombo vya Tanzania kufanya unyama kama huo ulio elezwe kwenye oparation Tokomeza na bunge letu?.Wabunge wana diriki kusema hata mkoloni hakuwahi kuripotiwa kufanya unyama kama huo.Kulikoni?Siyo laana ya Mwangosi kweli?
 
CANIMITO

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,414

Mr. Lukosi,mchangisha rambi rambi za mjane wa marehemu atakua na majibu.... Aje kwenye huu uzi...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom