Ivi jamani nilini nitakuja kumpata mke mwema

Ivi jamani nilini nitakuja kumpata mke mwema

katika maisha yangu yote sijawahi kupata mtoto wakike anae nipenda nakunidhamini huwa najiulizaga maswali siyapatiagi majibu au wangu wa kunipenda haja zariwa maana nikikumbuka hapo mwanzo nilisha wahi kuwa namchumba mpaka nikamtambulisha kwa wazaz lakin nivyokuja kumwambia tuoane jibu alilo nipa aliniambia kwamba nimeisha chelewa alafu akamarzia kwamba alikua ananichuna 2 lakini ninaempenda yupo daa nikasema sitokaa nikapenda tena maishani mwangu lakini majukumu yamezidi natafuta mchumba wa kuow
Na wengine wanajiuliza lini watapata mume mwema.Muombe allah atakusikia dua zako inshallah
 
Ndugu, umesema "sito kaa kumpenda mwanamke tena maishani mwangu" vipi hiyo kauli umekwisha ifuta? Kama bado usitegemee kumpata mke mwema usiyempenda. Pia jiangalie na wewe, je, unavigezo vya kuwa mme mwema?
 
mke mwema huja kwa wakati ufaao.sio kila mwanamke unae muona basi anafaa kuitwa mke.wengine wapo kimaslah zaid.jalibu kuchunguza kwamakini kwani wanawake wengi tunapretend upendo hasa kwa wanaume wenye hela.hivyo basi jua vigezo unavyo taka mkewako mtalajiwa awenavyo.jitathimin wewe mwenyewe kama unamapnz ya dhati usiaze na mambo ya pesa utaliwa bule .aza na msichana taratibu .usikulupuke tu kumpeleka kwa wazazi.
 
chukua no yangu hiyo hapo 0655448073

......wewe kweli unatafuta kuchunwa......mke mwema hutoka kwa sir God pekee,,, mengine mapepo,,, na namba unagawa kabisa....eti huwezi kupika......wewe hutafuti mke unatafuta hsgl.......utampata soon....
 
Back
Top Bottom