Ivi hapa ni wapi jameni

Unampango wa kufika?

Samahani kwa swali maana ndio tanzania yetu hii swali juu ya swali)
 
Nipo usingizini sioni, niambie ni wapi?
 
huo ni mtaa wa victor wanyama kaka, hupo ubungo viwandani.
 
huo ni mtaa wa victor wanyama kaka, hupo ubungo viwandani.
Kwani huyo victor wanyama ni nani hapa tz, na kwanini huo mtaa wauite hivyo au ni mtu maarufu kwa kuchoma au kukaanga nyama au mishikaki ndio maana ukaitwa mtaa wa victor wa nyama nini?
 
Chatlllllleee centre highway corner area place
 
Chattle naona punda wanaongozwa na mataa ya barabarani😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ni Chato, kuna mataa alafu gsri linapita baada ya masaa 12
 
Taa nyekundu ni ruksa kuvuka punda. Ni kama ambulance,,,😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ni Chato, kuna mataa alafu gsri linapita baada ya masaa 12
[emoji3][emoji3]trafic light zinaongoza punda. Only chatle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…