Je wewe ni msafirishaji na unahitaji kuboresha biashara yako na gari za kisasa .naagiza magari haya kwa bei nzuri .
IVECO STRALIS ACTIVE SPACE 4 by 2 tractor unit kwa sterling pound 14750 mombasa .scania zipo pia na gari za kijapan kuanzia mwaka 2005 zipo . muda ni mwezi mmoja .wahi sasa kabla stock haijakwisha