Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Kuna jamaa yangu yuko kampala anafanya kazi media house moja kubwa alinitumia DM za zari kwa Ivan wakati wa ile issue ya domo ya nyumba wakati wa BD ya Zari. Zari alikuwa anamplease sana Ivan asijibu wala kufanya lolote n its like zari anajua how rich gang are capable of doing. N its like zari ana meet sana na Ivan huko SA.
Halafu hawa rich gang wakitaka kuexpose kila mawasiliano ya zari kwa Ivan mbona domo atamkimbiza zari mchana kweupe
daaah kwahiyo ivan bado anatafuna mzigo
 
1476244611862.png
 
Hakuna sheria ya nchi wala ya kidini inayolazimisha tajiri asiwe na show off.. Besides everyone has his/her way to show off..

Mistake kulazimisha kila mtu aishi kama mtakavyo..

Nadhani hujaelewa points zangu, then ukatoka nje ya points zangu kuonyesha errors ambazo sijaongea hivyo.

My point ilikuwa, sio kila rich man ana show-off. Thats simple. I am not against that, and I am not supporting that. That's how I view, I don't judge others. Na sijasema kila mtu awe fulani. Napenda logical arguments na siwezi kuchange mwanadamu jinsi kuishi, I was born alone, and I focus on myself.
 
Pablo Escobar alikuwa anaingiza dollar million 60 kila siku zinaingia kwenye account lakini hakuwa kupiga picha na pesa zake. Wenye mil 100 tu wana photo za pesa zao like hell.

Most of rich guys wanaojielewa sio wapiga picha na mali zao. Like Mark, huwezi kuona his pic with cash.

4bad80e456f7c5cbf431f724cb535226.jpg

c8e0a20fc7208de95bb4ea987ac239c9.jpg
Soma hii post yako tena vizuri..

Hapo simply unamaanisha kwakuwa wewe kama tajiri unayejielewa basi usishow off na ukifanya hivyo basi hujielewi.. Au ulikuwa unamaanisha nini??

Acheni watu waishi watakavyo...
 
Ni comment yangu na views zangu on myself!

My idea ni kuwa

Show-off sio tatizo, ila kuna watu wana sifa mpaka wanakuwa wajinga na wanasahau there is impermanence in life.

Mimi kama mimi siwezi kutoa pesa zangu, na simu zangu kuziweka kitandani au juu ya meza kuonyesha what I have. I can't and I feel its strange to waste my efforts on that. Na kama mali zangu zitaonekana on my photos zimetokea sio kwa kuonyesha sifa. Its part of my scene. And I believe and I am not the only one who perceives that way.

On the other side, sihukumu mtu. Kila mtu ana choices zake.

Na kuna wajinga wengine wanaotazama maisha ya watu kwenye social media na kuwadefine kwa reference ya what they sees.
 
Sasa kama huukumu and you don't care of what they do or show, kwanini uwaite wajinga?? Kwahiyo kwako wewe mtu anayeishi tofauti na mitazamo yako ni mjinga na hajielewi?? Rudia tena na tena kusoma hiyo post yako ya kwanza.. On a plain note umesema hao wanaopiga picha hawajielewi sababu tu Pablo Escobar or Mark or Bill hawajafanya/hawafanyi hivyo..

Everyone has his way to flaunt, we just differ how we perceive issues though... Kwako wewe inaweza ikawa inakuboa mtu kupiga picha na pesa zake lakini unafurahia mtu anayevaa cheni kumi za gold shingoni na pete and other accessories on his wrist lakini mwingine akawa hana shida na huyo wa kwanza lakini akawa hapendezewi na huyo wa pili. On top of that acha watu waishi watakavyo as long as hawavunji sheria..
 
Why are you provoking!! Just relax
 
haiwezekani.
lakini kwan akina dada mtamind hilo..as long as unapewa kiburungutu kimoja kimoja cha dola kila siku
hahaha jidanganye jamaa haongi ila kwa show off tu yumo na malaya wa kutupwa hawezi kupa iyo hela hata umpe tope anakula na hulambi kiburungutu
 
Back
Top Bottom