Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Muuza madawa maarufu Nas Escobar anayekadiriwa alikua akiingiza dollar million 60 kwa siku hakuwahi kupost Picha ya pesa na aliamini kupost pesa Ni umaskini wa akili au Ni stress iliyopitiliza.
Nas Escobar? Duh ...
 
na aliamini kupost pesa Ni umaskini wa akili au Ni stress iliyopitiliza.
Chifu unamaanisha kusema kupost pesa? Maana kama unamaanisha kupost kwenye social media kama huyo bwana wake Zari, basi uturudishie chenji, maana Don Pablo aliishi kwenye ulimwengu ambao haukuwa na social media. Kafa mwaka 1993, kipindi ambacho hakukuwa na Facebook, Twitter, JF, Snapchat, Whatsapp n.k.
 
Pesa iko haswaa,
Mara kibao Zari anamfata inbox anaomba pesa ya matumizi yake binafsi, wapambe wa Ivan huwa wana-screenshot msg za Zari Mara anaomba USD 3000 ya shopping mara anaomba pesa ya kufanya business nk
si mzazi mwenzake kuna tatizo gani hapo
 
tmp_4095-1692053_200x200198689043.jpg
Mimi zangu hizi hapa
 
...huyo zari kinachomweka kwa diamond ni janja tu...ama kunyonywa k na mk.....hamna sababu ya maana ya kuachana na mtu mliyezaa nae watoto watatu...alafu unahangaika na hussler wa kibongo...huyo zari yuko na diamond strategically tu..iko siku atamtosa...
 
Nakumbuka zamani nikiwa O Level, kila msichana mzuri alikuwa anasemekana ana ngoma. Nimesoma posts hapana namna watu walivyokuwa PSYCHICS, INTERPOL, MEDIAMEN, COUNCILLORS nk. Mi hoi!

 
Mkuu Ivan na wenzake ni waganga wa kienyeji wateja wengi wapo SA lakini wanakula vichwa world wide,
Anasemwa ni mganga aliyebobea zaidi kwenye kucheza na nyoka anapofanya kazi yake.
Kama ni kweli mchambuzi ndio maana mama Dai kama mzazi amenusa kitu. Muda utaongea wale wachumba wawili upo uwezekano wa kurudiana wakati huo kijana wetu akiwa hoi (siombei).
 
Back
Top Bottom