iv namba moja ina kp cha ziada

iv namba moja ina kp cha ziada

emboaba

Senior Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
143
Reaction score
117
habar wadau..
juz nlkuwa nakagua daftar za mwanangu sasa nmeshka daftar la hisabat kama cjaelewa iv.. nanukuu maelezo ya mwalm
'' witiri ni namba zote znazogawanyka kwa mbil na kubak moja
mfano 1,3,5,7,9,11,13...''
sasa nkabak najiulza mbn hyo cfa ya kugawanyka kwa mbil na kubak moja kwenye namba moja haiapply
 
Bora ww Una kabisa za daftar za mwanao.

[emoji375][emoji375]
 
habar wadau..
juz nlkuwa nakagua daftar za mwanangu sasa nmeshka daftar la hisabat kama cjaelewa iv.. nanukuu maelezo ya mwalm
'' witiri ni namba zote znazogawanyka kwa mbil na kubak moja
mfano 1,3,5,7,9,11,13...''
sasa nkabak najiulza mbn hyo cfa ya kugawanyka kwa mbil na kubak moja kwenye namba moja haiapply
1 ni witiri.
Kwamba witiri ni namba yoyote inayogawanyika kwa mbili na kubaki moja haya maelezo yaliwekwa kwa uelewa wa watoto esp. primaries

Katika lugha za kihisabati, witiri ni namba inayogawanyika kwa 2 na baki sehemu(fraction)

Mfano:
1÷2=1/2 , 1 ni witiri
2÷2=1, 2 ni shufwa (hamna baki sehemu)
3÷2=1(1/2), 3 ni witiri
4÷2= 2, 4 shufwa(haina baki)
5÷2÷ 2(1/2), 5 witiri
n.k

Kwahiyo kuna katika level Kama za watoto wanatumia lugha rahisi hatakama haina logic mradi aelewe kwa level yake

NOTE: witiri, shufwa au tasa ni namba nzma( integer au whole numbers ) but sio decimal number , usianze kusema basi hata 0.5, 0.7, 2.4 ni witiri au shufwa
 
Back
Top Bottom