Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
mbona ipo mkuu
Jana usiku na leo imepotea kidogo, sasa hivi imerudi.Tangu jana,channel nambari 293-ITV kwenye king'amuzi cha DStv haipo hewani. Kuna ujumbe tu kuwa kuna tatizo la hali ya hewa.
ITV fanyieni kazi jambo hili. Nawasilisha.
Achana na ving'amuzi vya TSh 9,520/= mkuuKwenye king'amuz cha continental hakuna cha star tv wala itv sijui nn tatizo