Lakini hii haitawasaidia; maana wapiga kura wapo Arumeru na uhalisia wa mambo uko huko! kuchakachua picha haibadilishi msimamo wa wana wa Arumeru!
Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru.
Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa kwa utulivu na muda wa kutosha.
Njoo habari ya CHADEMA sasa, jamaa wanaonesha picha iliyopigwa kwa karibu kuonesha watu wachache na kisehemu hicho kitarudiwa hata mara nne. Na iwapo wataonesha picha ya mbali, basi itapitishwa kwa spidi hadi inaonekana kabisa kuna kitu wanazuia.
Hivi ni kweli mpaka 2015 chadema itakuwa haina TV? au basi atokee kada wa CHADEMA mwenye mshiko kama kina ndesa wafungue tv binafsi zitakazotoa habari kwa haki na usawa, kama jinsi ambavyo makada wa CCM wana tv mfano Clouds TV, Star TV na ITV yenyewe.
Mimi niko tayari kurusha vipindi vya televisheni online kama CDM wako tayari
Mjadala uanzie hapa, big up sana kiongozi.
Ushabiki wa ITV nmeushtukia toka mwanzo, ni kuwatema kama tulivyowatema TBC na Channel ten!
This should prompt Chadema to allocate funds for setting up their own TV station instead of wasting money on payments for Slaa's and Josephine's expenditures. It is inapprehensible that Chadema, with its vast monthly subsidies received from the governament, does not own a single media to promote itself especially during times like these.
Mnapoteza muda wenu pale ITV mzee Mengi ndio anaetoa muongozo! Mengi ni oppurtunist tu ingawa wengi hampendi ukweli huu! Malengo yake ndio yanamuongoza not nyingi wananchi!leo nilikuwa pale new habari leo muhariri wa gazeti la mtanzania alikuwa anachimbwa biti na bashe kwa kutoa taarifa za chadema na jamaa kumbe alikuwa tanzania daima alicho wajibu ni kwamba yeye anataka kuuza gazeti