ITV wamekumbwa na shida gani?

ITV wamekumbwa na shida gani?

Mkwara kidogo tuuuu kuhusu wakulima na wafugaji wameufyata....inawezekana mzee "machache" ana makandokando mengi ya kodi
 
Yaani Itv uchwara ungesikiliza jana pia kipindi cha makumbusho ya hoja ulikuwa utumbo yaani utumbo kabisa wanasifia wanajikomba wanatukana upinzani wakati hawajawapa platform buRe yule mzee anadhani ataachiwa gesi mtwara
 
Ukitaka uone jinsi watu wanavyopigwa maswali.....angalia yule jamaa Wa BBC...mzungu yule....yani pale usipokua makini waweza rusha ngumi...jamaa anaongea na data, hajipendekezi...Natamani waje waandae kipindi na RC wa Dar au Mkuu mwenyewe...haha...lazima mtu awekwe ndani
 
Mkuu wewe tu kuangalia itv watu wamehamia azamu tv ccm imenunua itv
Utaumiza kichwa wachangiaji wanapewa maelekezo cha kungumza
 
Wandugu niko sasa hivi naangalia kipindi kilichokuwa kinaitwa Kipima Joto. Naamini hiki kipindi na jina lake kilitengenezwa kuwa platform ya mijadala yakitaifa ya kuchangia mambo muhimu ya taifa letu. Lakini leo pamoja na mara nyingine nyingi tunakiona kimekuwa ni PR platform.

Hivi ni sawa private sector iite watendaji wa serikali kwa kutoa muda bure, ili kujadlli mafanikio ya serikali ya Magufuli? What a shame, Joyce achene kujikumba hjamani haya mambo yangefanywa na vijarida vidogo vidogo vya wakina changamoto na Jamhuri note you.

Halafu bado mnaendeleza kutumia waandishi mambumbumbu kama huyu binti, ambao wala hawaandaliwa kulikabili jopo yeye ndio anuliza maswali ya kipumbavu kuliko uelewa wetu sisi watazamnai. Yes serikali inawabana lakini na nyie ITV uongozi weni ni very weak, hapa ndipo tunapoona viongozi wenye uwezo na wale wanoabebwa, wakina Ndio mzee. Hebu sikilizeni kinachoendellea jamani. wazungumzaji wako kwenye kiti moto laklini wako so relaxed.

Huu uwezo wa watanganzaji wa ITV ni wa kituo cha wilaya ama community television. Bonge la PR hakiyamungu, ndio shida ya wajikombi, afadhali seriklai imekataza kufanya kazi na private media, vipindi vya maana hamvirushi haya ya kipumbavu na kujikomba ndio mnashabikia, mmejaza vipindi mpaka eti jukwaa huru, lakini majukwaa yote hayo hakuna segmentaton. imekula kwenu
Sijawah angalia hiki kipindi kwahyo Sito toa mchango wowote hapo
 
sasa wew hauoni kama inapunguza idadi ya waangaliaji na wakipungua ni nani atazamini matangazo watalipaje kodi
Wewe hata usipoangalia ni poa tu na hupunguzi lolote. Kama ni matangazo ya biashara wanaotangaziwa huwezi kuwa mmoja wao.
 
Siku hizi huwa sina cha kuangalia ITV, taarifa ya habari naangalia Azam 2
 
ITV tangu jamaa asifiwe kwa uwekezaji na kuitwa mfanyabiashara mzuri anaelipa kodi basi kichwa kimejaa maji siku hizi habari zake hazina tofauti kabisa na TBC, yaani hakuna hata TV moja inayorusha mgogoro wa wakulima na wafugaji hata bomoa bomoa inayo endelea kimara hakuna anerusha wote wamebaki kuwafuta mawaziri matakoni na kumsifia mkuu, mimi siku hizi nimeamua kuangalia EAST AFRIKA TV muda wote bora nijue msanii gani kaachia nyimbo mpya basi maisha yaende taarifa ya habari ni unafiki mtupu, kila anaekaa mbele ya kamera ni kumsifia mkuu, jana nilikuwa kwa jirani nikaona eti hata vita ya wasanii na wezi wao steve nyerere anamsifia mkuu wa nchi haaaa! msweeee.
 
Hivi kazi ya chombo cha habari ni kusifia govt.regime niwekeni sawa hii ya chombo cha habari huru kuchukua upande kweli ndio maendeleo nyuma au ya mbele?
 
Nenda page ya mange kimambi kasome kilichowpata ITV supa brand afrika mashariki...sasa hivi wako remote controlled au programmed
 
Siku hizi wamebaki na kisuper brand chao ila wameshuka sana kimatangazo
 
Wandugu niko sasa hivi naangalia kipindi kilichokuwa kinaitwa Kipima Joto. Naamini hiki kipindi na jina lake kilitengenezwa kuwa platform ya mijadala yakitaifa ya kuchangia mambo muhimu ya taifa letu. Lakini leo pamoja na mara nyingine nyingi tunakiona kimekuwa ni PR platform.

Hivi ni sawa private sector iite watendaji wa serikali kwa kutoa muda bure, ili kujadlli mafanikio ya serikali ya Magufuli? What a shame, Joyce achene kujikumba hjamani haya mambo yangefanywa na vijarida vidogo vidogo vya wakina changamoto na Jamhuri note you.

Halafu bado mnaendeleza kutumia waandishi mambumbumbu kama huyu binti, ambao wala hawaandaliwa kulikabili jopo yeye ndio anuliza maswali ya kipumbavu kuliko uelewa wetu sisi watazamnai. Yes serikali inawabana lakini na nyie ITV uongozi weni ni very weak, hapa ndipo tunapoona viongozi wenye uwezo na wale wanoabebwa, wakina Ndio mzee. Hebu sikilizeni kinachoendellea jamani. wazungumzaji wako kwenye kiti moto laklini wako so relaxed.

Huu uwezo wa watanganzaji wa ITV ni wa kituo cha wilaya ama community television. Bonge la PR hakiyamungu, ndio shida ya wajikombi, afadhali seriklai imekataza kufanya kazi na private media, vipindi vya maana hamvirushi haya ya kipumbavu na kujikomba ndio mnashabikia, mmejaza vipindi mpaka eti jukwaa huru, lakini majukwaa yote hayo hakuna segmentaton. imekula kwenu
Serikali ikipondwa ndo inaonekana kituo cha TV kiko imara ila ikipongezwa tayari kituo hicho hakifai. Acha wivu wa kike na utasubiri sana na uchadema wako...!!
Ulitaka watangaze historia ya Nyalandu?
 
Back
Top Bottom