Wandugu niko sasa hivi naangalia kipindi kilichokuwa kinaitwa Kipima Joto. Naamini hiki kipindi na jina lake kilitengenezwa kuwa platform ya mijadala yakitaifa ya kuchangia mambo muhimu ya taifa letu. Lakini leo pamoja na mara nyingine nyingi tunakiona kimekuwa ni PR platform.
Hivi ni sawa private sector iite watendaji wa serikali kwa kutoa muda bure, ili kujadlli mafanikio ya serikali ya Magufuli? What a shame, Joyce achene kujikumba hjamani haya mambo yangefanywa na vijarida vidogo vidogo vya wakina changamoto na Jamhuri note you.
Halafu bado mnaendeleza kutumia waandishi mambumbumbu kama huyu binti, ambao wala hawaandaliwa kulikabili jopo yeye ndio anuliza maswali ya kipumbavu kuliko uelewa wetu sisi watazamnai. Yes serikali inawabana lakini na nyie ITV uongozi weni ni very weak, hapa ndipo tunapoona viongozi wenye uwezo na wale wanoabebwa, wakina Ndio mzee. Hebu sikilizeni kinachoendellea jamani. wazungumzaji wako kwenye kiti moto laklini wako so relaxed.
Huu uwezo wa watanganzaji wa ITV ni wa kituo cha wilaya ama community television. Bonge la PR hakiyamungu, ndio shida ya wajikombi, afadhali seriklai imekataza kufanya kazi na private media, vipindi vya maana hamvirushi haya ya kipumbavu na kujikomba ndio mnashabikia, mmejaza vipindi mpaka eti jukwaa huru, lakini majukwaa yote hayo hakuna segmentaton. imekula kwenu