Jayfour Senior Member Joined Feb 20, 2011 Posts 114 Reaction score 11 Feb 22, 2011 #1 Leo usiku huu itv ilikuwa waendeshe kipindi ambacho kingejadili mambo ya Dowans lkn kupitia taarifa ya habari saa mbili wamefuta kipndi hicho kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.. Meanwhile kesho BBC swahili itafanya mjadala kuhusu MABOMU YA G/MBOTO.
Leo usiku huu itv ilikuwa waendeshe kipindi ambacho kingejadili mambo ya Dowans lkn kupitia taarifa ya habari saa mbili wamefuta kipndi hicho kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.. Meanwhile kesho BBC swahili itafanya mjadala kuhusu MABOMU YA G/MBOTO.
G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 Feb 22, 2011 #2 mbivu na mbichi zitajulikana tu hata wakifuta mjadala kwenye runinga
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Feb 22, 2011 #3 Mbona hizo sababu zilizo nje ya uwezo wao hawaziweki wazi?
K kabindi JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 333 Reaction score 120 Feb 22, 2011 #4 hakuna saababu ya mjadala maana kila kila kitu kinaeleweka! DOWANS ni ya Rostam na Wasanii wengine ndani ya ccm!
hakuna saababu ya mjadala maana kila kila kitu kinaeleweka! DOWANS ni ya Rostam na Wasanii wengine ndani ya ccm!
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 Feb 22, 2011 #5 Sitashangaa nikisikia kuwa wamezuiliwa na serikali!