Itv through Star Times inakera sana kwa mikwaruzo

Itv through Star Times inakera sana kwa mikwaruzo

Ndiho

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
2,306
Reaction score
1,535
Wana jamvi, kiukweli kituo cha televisheni cha Itv kupitia king'amuzi cha Star Times kina mikwaruzo ambayo inaleta kero kutazama. Vituo vingine vyote viko safi kabisa isipokuwa Itv. Tunawaomba wamiliki wa kituo washughulikie tatizo hilo( wakishirikiana na star times) ili hata sisi wa maisha ya chini tuweze kufuruhia maisha kwa kutazama runinga. Hakuna mantiki ya kujitangaza kuwa BRAND wakati kituo kina scratch hadi kuumiza mnacho. Nawasilisha.
 
Hebu kaka nisaidie hizi antena zao zinapatikana wapi mtaani ama ni mpaka uende kijitonyama kwenye ofisi zao?
 
Mi nilidhani ni kwangu tu. Yaani ni mikwaruzo mwanzo mwisho
 
mie mbona itv haionekani wala eatv hata kwenye list channel mie nikajua zimejitoa startime kumbe bado zipo
 
Serikali yanu si ilikimbilia kuingia digital kwa maslahi ya kuuza ving'amuzi pasipokujua athari zake wakiti wa mpito
 
kweli kabisa inakera sana. halafu habari zote zikiisha wanaweka tangazo la Baba wataifa halitoi sauti. nakereka sana. mia
 
kama unatumia antenna ya nje, hakikisha unaset kwenye uelekeo ambao channel zote zinakamata sawia
 
mimi nilisha choka itv sipati, star tv sipati zina kwaluza kichizi yan sijui ccm na serikali yake ni uchafu gan huu walituletea jamani
 
mimi nilisha choka itv sipati, star tv sipati zina kwaluza kichizi yan sijui ccm na serikali yake ni uchafu gan huu walituletea jamani
kaka we acha tu yaani morogoro mwezi wa nne huu startv haipatikani mwezi wa pili itv na eatv patupu mpaka zimejifuta nimeamua kujisalimisha kwenye dishi yaani staataimuz majangaaaaa
 
sio itv ni hicho kingamuzccm,tupa kapuni
 
aisee dawa ya hizi ving'amuzi ni kuchukua TV digital.....nimebeba mzigo wangu samsung nimefunga antena ya kawaida nnakula hadi baadhi chanel ambazo lazoma uwe na dish kuzipata
 
suala la mikwaruzo ktk picha kwa dikoda yoyote linasababishwa na signal kuwa weak, especially kama upo bondeni au unatumia antena fupi. ni vema kuwa na antena nzuri ambayo imepanda juu(kimo) na kuweka ktk uelekeo utakaokamata mawimbi bila mikwaruzo.
 
Back
Top Bottom