Pi Network
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 290
- 319
Tunapo zungumzia inshu za migodini, na hasa changamoto mbalimbali zilizoko huko mi nafiriki ukweli wa hayo yote upo kwa wahusika ambao ni wafanyakazi na wamiliki wa migodi hiyo.
Lakini kilicho nisikitisha ni ITV kuwahoji wakazi wa hapa Dar es salaam ambao pengine hasa hao waliokuwa wakihojiwa huenda hata hayo masuala ya migodi hawayajui kabisa.
Mi nafikiri ifike mahala tunataka kupata maoni yanayo faa au yenye ukweli halisi; tunapaswa kwenda moja kwa moja mahali husika na si kuwahoji watu ambao hawajui chochote ili wawasemee watu hao.
NAWASILISHA!