ITV siwaelewi tena, Mbona Munaonesha Mikutano Ya CCM tu?

ITV siwaelewi tena, Mbona Munaonesha Mikutano Ya CCM tu?

MAHORO

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
7,585
Reaction score
2,571
... Katika Wiki Hii Ya Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Sijaona Itv Wakionesha Mikutano Ya Ukawa, Au Wamepewa Fungu Nini?
 
Ile ni TV station ya biashara. Wanatoa airtime kwa waliolipia tu.
 
mkuu mahoro hata mimi kitendo hiki cha itv kutoonyesha mikutano ya cdm kimenifanya niichukie sana taarifa ya itv na baki tu hapa jf na pc yangu badala ya kuangalia taarifa ya itv
 
Labda wameambiwa wasipofanya hivyo watafungiwa. Hata mimi leo niliwaona nikachoka nikatamani nimtafute Joyce Mhavile
 
... Katika Wiki Hii Ya
Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Sijaona Itv Wakionesha Mikutano Ya Ukawa,
Au Wamepewa Fungu Nini?

ITV ni chombo binafsi, kina uhuru wa kuonyesha content yoyote wanayoona inafaa kwao mradi hawavunji sheria. Hicho ni chombo cha kibiashara.
 
Watakuwa wametishiwa amani si unajua watu wengi huwa hatuangalii tbc kwa sabab walshaigeuza ya ccm badala ya taifa,ukute wanataka na itv iwe hivyo
 
Hapa ni biti tu hakna kingine tusizinguane ukumbuke mengi mwenyewe ameskika mara kadhaa analalama kuwa ametishiwa uhai wake sio tu issue ya escrow bali kumiliki vyombo vyenye kuexpose watu au vyama pinzani kwa kwa mema....
 
Nimeanza kuichukia ITV....
Kwaniini lakini? ITV ITV ITV, shauri yenu, fuateni nyayo za lile li tv la TBCCM itakula kwenu. umahilri wenu umetokana na kubalance habari za kijamii na za kisiasa. Mkumbuke wateja wenu wengi ni wale wanaokeleka na upolaji wa maliasili za nchi hii unaofanywa na chama tawala
 
CHADEMA anzisheni TV yenu ambayo itakuwa inaonyesha mnachokitaka.
 
Chuki yake na serikali imeisha baada ya aliekuwa anambania kupata vitalu anaadhibiwa, sasa ukawa hawapati airtime tena.
 
Back
Top Bottom