ilboru1995
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,329
- 269
Issue siyo kuandia issue ni kusoma magazeti yalichoandika kwanini hukwepa kusoma habari zinazoihusu chadema aau tuwasusie kama TBC...........
Wakuu Salama?
Kuna suala leo limenitatiza sana ingawa limekuwa likijotekeza mara kwa mara katika mazingira fulani fulani
Habari kubwa kwenye magazeti almost yote ya leo ni Juu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Slaa kugoma kuhojiwa na Jeshi la Polisi kwa kile alichoeleza kuwa hana imani na Jeshi hilo kwani limekalia taarifa nyingi za uchunguzi ikiwemo ile ya kutegewa kinasa sauti chumbani kwake kule Dodoma.
Aidha, habari hiyo ambayo inauza magazeti yote ya leo imeambatana na maamuzi mbalimbali ya kamati kuu ya CHADEMA iliyoketi kwa siku mbili.
Nimejaribu kufuatilia vipindi vya udondozi wa magazet kwenye TV na Radio kuanzia Star TV, RFA, Magic FM na Channel 10 kote wamesoma habari hiyo kubwa nchini. Maajabu ITV na Radio One kwenye vipindi vyao vya udondozi wa magazeti hawajasoma kabisa habari hiyo na mara zote watangazaji wamekuwa wakiudanganya umma kuwa, habari iliyopamba magazeti yote ni ile ya Rais wa Jumuiya ya madaktari kufikishwa mahakamani.
Kinachokera zaidi, Mwandishi anasoma; nanukuu "Katika Gazeti la Tanzania Daima habari kubwa iliyopamba ukurasa wa mbele ni ile isemayo MADIWANI 22 WA CCM MISUNGWI WAJIORODHESHA KUHAMIA CHADEMA" wakati habari kubwa ni ya Dkt. Slaa.
Aidha, taarifa za habari za jana kwenye TV stations zote hakukuwa na habari hiyo ya CDM isipokuwa Channel ten pekee. Niliikodolea macho ITV bila mafanikio.
My Take
-Hivi ITV/Radio One kuna nini hadi kwa makusudi wanaudanganya umma juu ya habari kubwa kwenye magazeti ya leo?
-Kuna tatizo kati ya ITV/Radio One na CHADEMA?
-Inakuwaje mhariri/mwandishi anaruhusu upotoshaji na upindishaji wa ukweli makusudi?
Nawasilisha...
Kwa mtazamo wa haraka haraka inaweza kuwa kweli kwani hata mimi nimefatilia hilo asubuhi na jana kipindi cha taarifa ya habari.
Lakini katika utendaji ITV imekuwa mstari wa mbele kuripoti habari za M4C kuanzia pale jangwani na hata ziara nzima ya OKOA KUSINI na pia kuripoti harakati mbali mbali za M4C kama kule Iringa, Geita na hata DSM.
Kwa tendo hili hatuwezi kuwahukumu ila imetupa fursa ya kufatilia kwa kina jinsi watakavyokuwa wanaripoti habari za OPERASHENI SANGARA II.
Wakuu Salama?
Kuna suala leo limenitatiza sana ingawa limekuwa likijotekeza mara kwa mara katika mazingira fulani fulani
Habari kubwa kwenye magazeti almost yote ya leo ni Juu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Slaa kugoma kuhojiwa na Jeshi la Polisi kwa kile alichoeleza kuwa hana imani na Jeshi hilo kwani limekalia taarifa nyingi za uchunguzi ikiwemo ile ya kutegewa kinasa sauti chumbani kwake kule Dodoma.
Aidha, habari hiyo ambayo inauza magazeti yote ya leo imeambatana na maamuzi mbalimbali ya kamati kuu ya CHADEMA iliyoketi kwa siku mbili.
Nimejaribu kufuatilia vipindi vya udondozi wa magazet kwenye TV na Radio kuanzia Star TV, RFA, Magic FM na Channel 10 kote wamesoma habari hiyo kubwa nchini. Maajabu ITV na Radio One kwenye vipindi vyao vya udondozi wa magazeti hawajasoma kabisa habari hiyo na mara zote watangazaji wamekuwa wakiudanganya umma kuwa, habari iliyopamba magazeti yote ni ile ya Rais wa Jumuiya ya madaktari kufikishwa mahakamani.
Kinachokera zaidi, Mwandishi anasoma; nanukuu "Katika Gazeti la Tanzania Daima habari kubwa iliyopamba ukurasa wa mbele ni ile isemayo MADIWANI 22 WA CCM MISUNGWI WAJIORODHESHA KUHAMIA CHADEMA" wakati habari kubwa ni ya Dkt. Slaa.
Aidha, taarifa za habari za jana kwenye TV stations zote hakukuwa na habari hiyo ya CDM isipokuwa Channel ten pekee. Niliikodolea macho ITV bila mafanikio.
My Take
-Hivi ITV/Radio One kuna nini hadi kwa makusudi wanaudanganya umma juu ya habari kubwa kwenye magazeti ya leo?
-Kuna tatizo kati ya ITV/Radio One na CHADEMA?
-Inakuwaje mhariri/mwandishi anaruhusu upotoshaji na upindishaji wa ukweli makusudi?
Nawasilisha...
hata mengi hana imani na vyombo vya usalama sasa nitashangaa mbaba huyu kama hata waunga mkono chadema kwa hili..vinginevyo anaendeleza ukada wake kwenye chama cha mabwepande..hivi kesi ya mtoto wake kutaka kushikishwa madawa ya kulevya..
Mkuu lengo langu halikuwa kueleza habari ni nzuri kwa CDM au laa bali kuonesha jinsi mwandishi anavyoweza kuudanganya umma kuwa, habari kubwa ni hiyo ya MADIWANI 22 WA CCM KUTAKA KUHAMIA CDM wakati ni tofauti.Nimekupata lakini.
Nakubaliana na mwandishi/msomaji "MADIWANI 22 WA CCM KUTAKA KUHAMIA CDM" kwangu ni habari kubwa kuliko unavyoiona wewe
Sijasema si habari kubwa ni kubwa lakini ya pili kwa ukubwa kwenye magazeti ya leo. Mtangazaji anaposimama na kusema habari kubwa iliyopamba magazeti karibu yote ya leo ana maana ni ile kubwa.
Kwenye taaluma ya habari kuna misamiati kama:
1. Lead Story-Hii ni habari kubwa katika gazeti au ile ya kwanza kwenye Radio/TV
2. 2nd Lead Story- Hii ni habari ya pili kwa ukubwa kwenye gazeti na kwa maana hiyo inakuwa ya pili kwneye Radio/TV
3. 3rd Lead Story- Hii ni habari ya tatu kwa ukubwa kwenye gazeti na hivyo ya tatu kwenye Radio/TV
4. Filler Story - Hii ni story ya ukurasa wa mbele ambayo inawekwa kujaza nafasi ukurasa wa mbele lakini yenye umuhimu pia.
Kwa ufafanuzi huo utakuwa umeelewa msingi wa hoja yangu. Ni kwamba wanachokifanya ITV/Radio One kusema habari kuu kwenye magazeti ya leo ni ya Rais wa Jumuiya ya Madaktari kufikishwa mahakamani au MADIWANI WA CCM MISUNGWI kuhamia CDM ni upotoshaji na upindishaji wa taaluma yao. Wameiacha Lead Story ya Dkt. Slaa/CDM na kuipa nguvu 2nd Lead. Kama hawalazimishwi na mwenye mali/ mabosi wao kufanya hivyo basi kuna mushkeli kwenye uelewa wa waandishi/watangazaji hawa. Ni yale yale ya kuita nyeusi nyeupe na nyeupe nyeusi badala ya nyeusi kuwa nyeusi na nyeupe kuwa nyeupe.
Wakuu Salama?
Aidha, taarifa za habari za jana kwenye TV stations zote hakukuwa na habari hiyo ya CDM isipokuwa Channel ten pekee. Niliikodolea macho ITV bila mafanikio.
Nawasilisha...
Mkuu lengo langu halikuwa kueleza habari ni nzuri kwa CDM au laa bali kuonesha jinsi mwandishi anavyoweza kuudanganya umma kuwa, habari kubwa ni hiyo ya MADIWANI 22 WA CCM KUTAKA KUHAMIA CDM wakati ni tofauti.Nimekupata lakini.
..kweli.. sikia hii karibuni 40% ya fedha alizochangiwa Ulimboka katoa Mengi abrakadabra!hivi jamani niambieni, mambo pale nyumbani yakienda ndivyo sivyo mfano mabinti wanapata mimbo au vijana wanaanza kuvuta bangi ovyo ovyo tu, je, tutakuwa sahihi kosa si la baba kwasbb yeye hashindi na watoto muda mwingi hivyo ni kumlushia lawama mama yao? kama JIBU NI kumlauma hata baba, basi tukubaliane kuwa hata mzee mengi kama mmiliki wa vyombo hivyo vya habari THERE IS NO WAY tunaweza acha mlaumu kuwa anashiriki katika unafiki huu. ni kweli vyombo vya habari vya IPP vimekuwa na hulka ya kinyongo kwa baadhi ya watu au taasisi fulani fulani. mfano mzuri kama alivyo-site ndugu hapo juu viliwahi goma kutangaza habari za timu ya SIMBA.
Kuna kila dalili kuwa huenda MANJI akashinda nafasi ya uenyekiti wa club ya YANGU (mimi ni simba). stashangaa kuona vyombo vya IPP vikaanza kutoripoti habari za YANGA. si mnajua MANJI na MENGI ni chui na paka.
MZEE Mengi kama kweli uhusiki basi tafadhari geuza shingo uvitazame vyombo vyako. vinaendeshwa KI-ABRAKADABRA sana. CDM ni kama chakula. usipokula ugali, utakula wali au matoke.