ITV: Pilau TV Show

linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
4,732
Reaction score
4,393
Habari zenu wana JF
Hiki kipindi mbona cha kiboya? Yaani maudhui yake hayaeleweki. Naomba wadau mnifungue
Kinakuwa baada ya habari za jiji letu
 
usikiangalie kama unaona hukielewi. kwani unalazimishwa kukitazama
 
Pilau Show A.K.A Mgegedo Show
Hahaha jamaa alifikiria kwamba ataona mambo yetu yaleeee,ya Pilau Movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…