ITV mshaanza kuiiga TBC?

Da mimi nilivyoona ivyo inabidi nizime tv coz nilikua ma hamu na yaliyo jili huko
 
Mengi kituo chake kinahujumiwa na vikada vichache vya ccm amkumbuki some body makunga Dc Hai sasa hivi je alihujumu upinzani kwa kiasi gani mpaka akakumbukwa udc, so I think bado IPP media kuna virusi sampuli hiyo ndio hizo impact tunazoona leo
Nimesoma makala zenu nimegundua hamjui tabia ya mwenye hiyo tv! Kwa wale waliowahi kusoma kitabu cha Ayi Kwei Amah kiitwacho The Beutiful Ones Are not yet Born mwandishi amemueleza ndege aitwaye Chichi dodo. Huyu ndege anachukia sana kinyesi lakini cha ajabu anapenda sana kula funza wanaotoka kwenye kinyesi! Tafakarini!
 
hata jana hawajaonesha vurugu za mbeya kati ya wafanyabiashara na polisi.... kweli itv mmekuwa maccm
 
Nipo tayari kuchangia kama nitasikia CDM kipo katika mchakato wa kuanzisha hata radio,tbccm,itvccm,statvccm na chanel 10ccm

Ni kweli aise, kwa sababu hawa ccm wanaungwa mkono sana, na wanazidi kuwa stronger kadri siku zinavyoenda......tuanzishe hata karedio alafu "yule mheshimiwa rapper" atakuwa ana rap asubuhi mpaka jioni...tutapata wasikilizaji kibao.....
 

Mkuu hicho kitabu wengine tumekisoma inawezekana na kuziandikia falsafa zake...huo uchichidodo unaousema basi kila mtu anao kwa watawala...na watawala wanao kwetu...kwanini haimaanishi ukiwa against na mtu kiitikadi basi hata msizikane....tunajua Mmiliki some time huwa yupo loyal kwa watawala ila itoshe kusema walau media zake wapinzani na wanyonge wanasikika wakipaza sauti zaidi hata ya chombo cha Umma TBCCM inavyotumika na hawa akina-Azoge the Blind beggars(nadhan nawe kama umebobea kwenye fasihi utanielewa)
 

ujue ni chombo biashara ; na pia mengi ccccm damu tokea TANU au ITV ikifungiwa mengi atawalipa nini labour wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…