ITV mshaanza kuiiga TBC?

Joram kiango

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
82
Reaction score
16
Kituo cha i.t.v ktk taarifa za habari wana mtindo wa ku pitisha maneno ya habari zilizomo, usiku huu nimeshangaa habari ya kuhusu kesi ya lema na mulongo imeyeyukia hewani bila kurushwa. .sitaki kuamini i.t.v nao wanatumikia serikali na ccm kama tbc. Ila nina imani kuna mtu kapigiwa simu akipewa donge nono iliasionyeshe jinsi serikali ya ccm inavyotumia vibaya kodi za wananchi kuwafungulia kesi zisizo na maana wapinzani. Anyway i hope kesho habari zitatapakaa magazetini.
Long live chadema
 
Mkuu hata mimi nimeshangaa imewekwa miongoni mwa habari zinazotakiwa kusomwa lakini haikusomwa labda tucheck marudio ya saa tano au asubuhi. Inawezekana wamejisahau ila kama wamefanya kusudi ni hatari.
 
Kuna vitu vya kusahau siyo jambo zito kama hilo. Huo ni mpango mzima.
 
yani inaonekana kuna mambo ya kipuuzi yanaendelea hapa nchini, mie mwenyewe nimeona nikangoja kwa hamu habari inamalizika bila kuonyeshwa kwa tukio la Lema. Kweli ITV nayo Majanga sasa.
 
Mengi kituo chake kinahujumiwa na vikada vichache vya ccm amkumbuki some body makunga Dc Hai sasa hivi je alihujumu upinzani kwa kiasi gani mpaka akakumbukwa udc, so I think bado IPP media kuna virusi sampuli hiyo ndio hizo impact tunazoona leo
 
Naungana na wewe kabisa itv haina tatizo kwenye menejiment au mmiliki wake the ppo who are corupted ni waandishi. .i dnt thnk mtoa mada wa kipima joto ni fredrick masako coz jamaa yuko neutral , kwani ukiangilia mada hua zina base upande mmoja most of th tym. .na yanazuia uhuru wa anaeulizwa swali
 
Nipo tayari kuchangia kama nitasikia CDM kipo katika mchakato wa kuanzisha hata radio,tbccm,itvccm,statvccm na chanel 10ccm
 
nlishashauri hili jambo kwa moshi mjini kuna moshi fm radio ya mh. Philemon ndesamburo, Tanzania daima pia inafanya kazi nzuri
 
Ama kweli watanzania tunaishi kinafiki,mpaka mengi naye anatumika na masisiem?balaa duniani.
 
Nipo tayari kuchangia kama nitasikia CDM kipo katika mchakato wa kuanzisha hata radio,tbccm,itvccm,statvccm na chanel 10ccm

Kwa nini usianzishe huo mchakato? watu kama ninyi mnaojiita cdm na wengine ccm mnaonesha wazi ubaguzi mlionao kwa watanzania.
 
Ama kweli watanzania tunaishi kinafiki,mpaka mengi naye anatumika na masisiem?balaa duniani.

sio mengi wala menejiment yake. .itv inasimamia misingi ya demokrasia tofauti na tbc. Tatizo ni mwandishi mmoja mmoja kuhongwa
 
Baadhi ya Waandishi wa Tanzania ni janga la Ukuaji wa demokrasia na ustawi wa nchi yetu...
 
Nipo tayari kuchangia kama nitasikia CDM kipo katika mchakato wa kuanzisha hata radio,tbccm,itvccm,statvccm na chanel 10ccm
Mkuu, ni kweli hili wazo ni zuri na ninahakika kama CDM wakitangaza mchango wa kuanzisha TV watu wengi tu tutajitolea, shida iko hapa, Kibari cha kurusha matangazo watapewa na hawa makada wa magamba?
 
Nipo tayari kuchangia kama nitasikia CDM kipo katika mchakato wa kuanzisha hata radio,tbccm,itvccm,statvccm na chanel 10ccm

kila cku tumesema leteni radio/tv yetu tuchangie
 
Huenda magazeti yaliyofungiwa yalikuwa magumu kuingiliwa ndo maana wakayafungia kwanza
 
Mkuu hata mimi nimeshangaa imewekwa miongoni mwa habari zinazotakiwa kusomwa lakini haikusomwa labda tucheck marudio ya saa tano au asubuhi. Inawezekana wamejisahau ila kama wamefanya kusudi ni hatari.

Yana mwisho msijali
 
Mengi kituo chake kinahujumiwa na vikada vichache vya ccm amkumbuki some body makunga Dc Hai sasa hivi je alihujumu upinzani kwa kiasi gani mpaka akakumbukwa udc, so I think bado IPP media kuna virusi sampuli hiyo ndio hizo impact tunazoona leo

...kweli mkuu nakubaliana mawazo yako...kama sijasahau ilikuwa jana au juzi nilimwona Beti Mkwasa(dc) hapo ITV akitoa zawadi ya saa,bilashaka atakuwa aliacha amemwaga sumu...
 
Hata mimi nimeona hili kuwa Mengi ni mnafiki anaogopa sana Serikali
 
Mengi ni mnafiki ashaifanya tv yake kuwa itvcccm
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…