ITV mmekuaje siku hizi?

ITV mmekuaje siku hizi?

rallphryder

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
3,630
Reaction score
1,444
Yaani hamripoti habari za matukio kama ujambazi, uhalifu, matukio ya jamii ya kila siku, kila siku ni siasa tuuuu! Mnaboa sana.
 
We ndooroobo!
Siasa ni maji,afya,elimu,kilimo,ufugaji na maisha yako ya kila sekunde we unataka waripoti habari za bongo fleva?
Rudi darasani ukapate elimu ya uraia ndio urudi hapa na pumba zako.
 
1. Polisi wanapiga wanahabari kila siku hivyo hawana tija kuwakatia mawasiliano nisawa kabisa.

2. Kinachouza habari ni siasa huu nimwaka wa uchaguzi lazima watu waelimishwe vema.

3. Ujambazi wizi na ufisadi unaripotiwa kila siku mmechukuwa hatuagan? Escrow, Gama huko kilimanjaro,nk

4. Uharamia na unyanyasaji wa polisi kila siku
-Juzi polisi walikamata Salum Mwalim huko mufindi
Juzi polisi walikanata cdm huko mafia
- jana polisi Singida wamepiga raia, maji yakuwasha na mabom

-Leo gongo lamboto, polisi wamepiga wanafunzi, maji yakuwasha na mabom juu-KAMPALA UNIVERSITY

UNATAKA WATANGAZE NINI?
 
mkuu leo umekula maharage aliyokula pengo hadi kujaribu kumtakasa kiazi mrema kwa maombi batili!!!!kanywe maji baridi na supu.
 
We ndooroobo!
Siasa ni maji,afya,elimu,kilimo,ufugaji na maisha yako ya kila sekunde we unataka waripoti habari za bongo fleva?
Rudi darasani ukapate elimu ya uraia ndio urudi hapa na pumba zako.

Angalia limsukule hili liliofeli shule! Hujanielewa unaripuka tu kama bomu!
 
1. Polisi wanapiga wanahabari kila siku hivyo hawana tija kuwakatia mawasiliano nisawa kabisa.

2. Kinachouza habari ni siasa huu nimwaka wa uchaguzi lazima watu waelimishwe vema.

3. Ujambazi wizi na ufisadi unaripotiwa kila siku mmechukuwa hatuagan? Escrow, Gama huko kilimanjaro,nk

4. Uharamia na unyanyasaji wa polisi kila siku
-Juzi polisi walikamata Salum Mwalim huko mufindi
Juzi polisi walikanata cdm huko mafia
- jana polisi Singida wamepiga raia, maji yakuwasha na mabom

-Leo gongo lamboto, polisi wamepiga wanafunzi, maji yakuwasha na mabom juu-KAMPALA UNIVERSITY

UNATAKA WATANGAZE NINI?

Kwa hiyo hutaki kusikia habari nyingine zaidi za migogoro tu! Matukio mitaani ni mengi sana, hawana habari nayo kabisaa! Kifupi, jamii imekatishwa tamaa na ITV.
 
Back
Top Bottom