Unajua mm nilikua sijaelewa nilivyowaona chooni [emoji134] [emoji134] nikawa najiuliza wanafanyajee wale wanaume au wanakabana yaan ndo umenifungua macho ndo mana anataka kufungua saloon ya kike mtto wa kiume hapana aisee wamefika pabaya itv kwahyo yule kaka atakua anawala dada na kaka ake [emoji15] [emoji15] na eatv siri ya familia kuna usagaji pia sa 12 na 30 jionMkuu kama naongea uongo nipo tayari kuwajibishwa. Kuanzia Episode 21- 23 ya leo ndiyo zimeonesha upuuzi wenyewe.
Hahahhh bi mkoraITV nawapenda kwa mchezo wa dhamira has a yule anaeuza wasichana
Ni wanaume wote ila mm nilikua najua labda wanakabana yaan mtoa mada kanifunguaMie leo niliutazama huo mchezo ila pale sikujua kama wale waliyokuwa bafuni ni wanaume wote.
Sio hiyo tu hat East Africa kwenye tamthilia ya siri za familia kuna dada anaigiza kama msagaji imenitia kichefuchefu sana cjui vijana wanalishwa nini na ting'a lao na 1[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Thanks, nilikuwa cjui kama kuna tamthilia kama hii, ngoja nianze kuifuatilia!Kuna Tamthiliya ya Kibongo inarushwa kila Jumapili saa 1.30 jioni kupitia kituo cha ITV kwa jina la "MAMA KUBWA",binafsi nilikuwa naifuatili ila inaanza kunitia kichefu chefu. Kuna humo ndani kaigizi basha jina lake halisi anaitwa Mrisho, kuna kijana mwingine anaigiza kama bwabwa, yaani Shoga anaigiza kwa jina la Robert. Nimeona tena wanaigiza kipumbavu kabisaa, maana mara washikane shikane mara hii wanaoga wote bafuni. Stupid saana.
Ningeshauri BASATA waifungia Tamthiliya hii na ikiwezekana kuwapa onyo Kali ITV.
Ifahamike kituo hiki cha TV tulikuwa tunakiheshimu hata kuangalia na watoto tulionelea inafaa, sasa badala yake wanataka kuharibu maadili yetu kweupe.
Japokuwa tunajua Ushoga upo lakini si kwa kuendelea kuushabikia.
ITV mnakishushia heshimu kituo chenu cha TV. Chukueni hatua.
Kama uliangalia hata iliyopita sehemu ya 21 pale walikuwa bar na huyo Robert, Mrisho na binti fulani ambaye imetokea amempenda Robert, baadaye akaona anapapaswa Mrisho kush Washroom na yule dada akamchana Mrisho kuwa hiyo tabia ya ku-deal na Gays itakoma lini na akamwambia Julieth na Robert wanatoka familia moja. Yaani kuna ujinga unaendelea mle. Serikali iliangalie hili haya si mafunzo mema kwa jamii yetu.Unajua mm nilikua sijaelewa nilivyowaona chooni [emoji134] [emoji134] nikawa najiuliza wanafanyajee wale wanaume au wanakabana yaan ndo umenifungua macho ndo mana anataka kufungua saloon ya kike mtto wa kiume hapana aisee wamefika pabaya itv kwahyo yule kaka atakua anawala dada na kaka ake [emoji15] [emoji15] na eatv siri ya familia kuna usagaji pia sa 12 na 30 jion
Channel ipi...acha upoyoyoITV ilikuwa zamani, achana nao, channel nzuri zipo nyingi tu
Sasa watu unaowaheshimu saa 4 usiku wapo macho wanatafuta nini wakati vituo vingi vya TV mambo ya kikubwa huanza saa 4EATV kuanzia saa 4 usiku wanakipindi kinaitwa AMSHA POPO, kinapiga nyimbo za ajabu ajabu hata huwezi kutizama na watu unaowaeshimu.
Sasa mkuu saa 4 za usiku watoto wako wapo macho wanatafuta nini na asubuhi watawahi jihimu kwenda shule kweli?kweli, kama mtu una watoto huwezi kukaa nao ukaangalia hiko kipindi.
Ulishawahi ona au umejuaje?Man to man and Woman to woman wanakuwa wafyatuana. Ushetani mkubwa huu.
Hayo mambo ya kikubwa ndiyo nini?Sasa watu unaowaheshimu saa 4 usiku wapo macho wanatafuta nini wakati vituo vingi vya TV mambo ya kikubwa huanza saa 4
Kuanzia miaka 18Hayo mambo ya kikubwa ndiyo nini?
Kuna Tamthiliya ya Kibongo inarushwa kila Jumapili saa 1.30 jioni kupitia kituo cha ITV kwa jina la "MAMA KUBWA",binafsi nilikuwa naifuatili ila inaanza kunitia kichefu chefu. Kuna humo ndani kaigizi basha jina lake halisi anaitwa Mrisho, kuna kijana mwingine anaigiza kama bwabwa, yaani Shoga anaigiza kwa jina la Robert. Nimeona tena wanaigiza kipumbavu kabisaa, maana mara washikane shikane mara hii wanaoga wote bafuni. Stupid saana.
Ningeshauri BASATA waifungia Tamthiliya hii na ikiwezekana kuwapa onyo Kali ITV.
Ifahamike kituo hiki cha TV tulikuwa tunakiheshimu hata kuangalia na watoto tulionelea inafaa, sasa badala yake wanataka kuharibu maadili yetu kweupe.
Japokuwa tunajua Ushoga upo lakini si kwa kuendelea kuushabikia.
ITV mnakishushia heshimu kituo chenu cha TV. Chukueni hatua.
Nimeuliza mambo ya kikubwa ndiyo nini unaniambia miaka 18!!!Kuanzia miaka 18
Kua kwanza mana bado ni JR ukiwa SR utaelewaNimeuliza mambo ya kikubwa ndiyo nini unaniambia miaka 18!!!
Haya mzee wa mambo ya kikubwa.Kua kwanza mana bado ni JR ukiwa SR utaelewa
nazungumzia siku za weekend.Sasa mkuu saa 4 za usiku watoto wako wapo macho wanatafuta nini na asubuhi watawahi jihimu kwenda shule kweli?