Kweli mkuu, huu ni ujinga. Acha wanaofanya wafanye ila si kuwa-promote. IPP wanaharibu Goodwill yao.wameshindwa kuwashawishi watu kwa maneno kukubali ushoga, sasa wanatumia graphics, the most effective way. EATV nao wameanza hii program kwa kupiga nyimbo zenye mahudhui ya kishoga, kuna wimbo niliona mwanaume kwa mwanaume wanakulana denda. msidhani serikali inakemea hili jambo, ile amsha amsha ya Paul makonda ni kiini macho tu, wao ndio wapo nyuma ya pazia.
promoters wa LGBT wanawalipa hao wenye TV stations hela kubwa warushe hewani vitu vyenye mahudhui ya kishoga.. its just business my friend, IPP dont care about society as long as they make money.Kweli mkuu, huu ni ujinga. Acha wanaofanya wafanye ila si kuwa-promote. IPP wanaharibu Goodwill yao.
Asante kaka kwa kuliona hilo, vyombo vyetu vya habari vinaangalia pesa tu ,ila kama kweli litafanyiwa kazi mkubwa,Mkuu kama naongea uongo nipo tayari kuwajibishwa. Kuanzia Episode 21- 23 ya leo ndiyo zimeonesha upuuzi wenyewe.
watu siku hizi wanaangalia hela bila kujali binadamu mwenzake inamuathiri vipi.. mfano muuza chipsi anaeweka mafuta ya transfoma kwenye mafuta ya kukaangia chipsi, hata muuza kuku wa kisasa anaetumia madawa ya kukuzisha kuku, hawa watu hawajali binadamu mwenzao anaathirika vipi wao wanaangalia pesa tu.Daaah, hapo kama kuna Kaukweli fulani vile.
EATV kuanzia saa 4 usiku wanakipindi kinaitwa AMSHA POPO, kinapiga nyimbo za ajabu ajabu hata huwezi kutizama na watu unaowaeshimu.wameshindwa kuwashawishi watu kwa maneno kukubali ushoga, sasa wanatumia graphics, the most effective way. EATV nao wameanza hii program kwa kupiga nyimbo zenye mahudhui ya kishoga, kuna wimbo niliona mwanaume kwa mwanaume wanakulana denda. msidhani serikali inakemea hili jambo, ile amsha amsha ya Paul makonda ni kiini macho tu, wao ndio wapo nyuma ya pazia.
kweli, kama mtu una watoto huwezi kukaa nao ukaangalia hiko kipindi.EATV kuanzia saa 4 usiku wanakipindi kinaitwa AMSHA POPO, kinapiga nyimbo za ajabu ajabu hata huwezi kutizama na watu unaowaeshimu.
Kweli mkuu, Mungu atawalipa. Japo mabepari hawaamini katka hilo.watu siku hizi wanaangalia hela bila kujali binadamu mwenzake inamuathiri vipi.. mfano muuza chipsi anaeweka mafuta ya transfoma kwenye mafuta ya kukaangia chipsi, hata muuza kuku wa kisasa anaetumia madawa ya kukuzisha kuku, hawa watu hawajali binadamu mwenzao anaathirika vipi wao wanaangalia pesa tu.
Kama wamekiuka maadili ya CHOMBO CHAO ni suala lao, watafute namna ya kujiadhibu.Kuna Tamthiliya ya Kibongo inarushwa kila Jumapili saa 1.30 jioni kupitia kituo cha ITV kwa jina la "MAMA KUBWA",binafsi nilikuwa naifuatili ila inaanza kunitia kichefu chefu. Kuna humo ndani kaigizi basha jina lake halisi anaitwa Mrisho, kuna kijana mwingine anaigiza kama bwabwa, yaani Shoga anaigiza kwa jina la Robert. Nimeona tena wanaigiza kipumbavu kabisaa, maana mara washikane shikane mara hii wanaoga wote bafuni. Stupid saana.
Ningeshauri BASATA waifungia Tamthiliya hii na ikiwezekana kuwapa onyo Kali ITV.
Ifahamike kituo hiki cha TV tulikuwa tunakiheshimu hata kuangalia na watoto tulionelea inafaa, sasa badala yake wanataka kuharibu maadili yetu kweupe.
Japokuwa tunajua Ushoga upo lakini si kwa kuendelea kuushabikia.
ITV mnakishushia heshimu kituo chenu cha TV. Chukueni hatua.
wewe unaweza usiangalie hivyo vipindi ukaenda kulala, tatizo linakuja pale unapofika mda wa kurushwa hivo vipindi na umewaacha vijana sebuleni. kama unavyoelewa kizazi hiki ni cha kukopi ma kupest. pata picha mkuu.Inaumiza saana. Sasa wanataka tusiangalie TV hawa na jambo ambalo ni gumu kwa dunia ya sasa!