ITV hii ni aibu, nunueni camera zenye kutoa video zenye ubora kwenye live

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
24,139
56,600
Jamani ninaangalia live ITV kupitia laptop yangu .Yaani picha ni hafifu watu hawaonekani vizuri.TV yenye mmiliki wa jumba nililoliona Machame jana ni aibu.
IPP MEDIA uzeni basi hata lile Jumba mnunue camera zenye ubora.AZAM kwenye live wakiwa wanashoot wenyewe picha zao ni high quality.Waulizeni wanatumia camera gani mkanunue.R.I.P Mzee Mengi.
 
Naona lile jumba linakutesa sana mkuu!
 
Kheri ya ITV kuliko TBC

Quality ya pictures ni azam ya pili ITV
Graphics channel ten wanajitahidi ila hawajiamini
WA mwisho katika kila kitu ni TBC
 
Well said,huu ndo ukweli,mate.
 
Back
Top Bottom