Habari zenu wana-JF!!
Bila shaka hizi ni baadhi ya kampuni chache zinazoongoza kwa uhabarishaji makini wa habari huku wengine wakijikongoja,hilo halina ubishi,
Kama Clouds Tv ambayo haifikii hata chembe kwa ITV na EATV iweje CLOUDS sasa wanarusha matangazo yao mpaka falme za kiarabu [UAE] alafu ITV mshindwe?
Jitahidini kuongeza coverage nchi mbalimbali kwani uwezo mnao ni kuamua tu!!
ITV na EATV mnahitaji watenda kazi wabunifu ili kuwafikia watu wengi I.p.p media ni Nouma hao jamaa huwa hawakurupuki katika mambo yao kama hiyo media yenu ya kienyeji inavyowanyonya wasanii nchini.
IPP media hao jamaa. Nouma huwa hawakurupuki katika mambo yao sio kama media zenu za ajabu ajabu
Mnaongoza kuwanywesha pombe walemavu halafu mnaenda kuomba msaada wa kupunhuziwa kodi eti mnasaidia sana jamii ya walemavu. Kweli hamkurupuki!
Mnaongoza kuwanywesha pombe walemavu halafu mnaenda kuomba msaada wa kupunhuziwa kodi eti mnasaidia sana jamii ya walemavu. Kweli hamkurupuki!
clouds watakuwa wanatangaza nini uarabuni?
ule wimbo wa heloo heloo Tanzania....
ule wimbo wa heloo heloo Tanzania....
Itv na eatv ni vituo vilivyoimalika na wako vizur kiabari tatizo linalowasumbu ni UBINAFSI.
Ubinafsi utakuwaje tatizo wakati ni kituo binafsi
clouds wajinga sana wanaacha kuboresha chaneli yao hapa nchini wao wanakimbilia uarabuni. Picha zao sijui wanachukua kwa kamera za simu maana hazina mvuto hata kidogo