Editor atoke wapi tena? Editor hawezi kutoka sayari nyingine. Editor ndio sisi hawa hawa tunaoandika xaxa badala ya sasa, cmu badala ya simu... Tumekuwa nchi ya wajinga. Kiswahili hatuwezi, Kiingereza hatuwezi na lugha za makabila yetu zinaondoka na babu na bibi zetu.