Its weekend let us go out and have fun...

Stoudemire

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
839
Reaction score
208
Habari chitchaters,

Weekend hii nipo free natoa offer kwa mwanadada mmoja au hata kama ni wawili lol (watatu hapana watani overwhelm :biggrin🙂 twende out tuka have fun, time kama kuanzia 20:00 hadi around 01:00 namaanisha saba saba hivi siku ya jumamosi ya kesho 20th April 2013. Tafadhali offer valid hadi kesho mchana confirmation inatakiwa , ipo kwenye first come first saved. :yo:

Sijui tutaenda kujirusha wapi maana sijawahi kujirusha kwa takriban miaka 2 hata sijui wapi it is happening in DAR :wink:


Angalizo: Kama unagida pombe basi uende mdogo mdogo usije ukatoboa mfuko wangu :biggrin::biggrin: halafu do not expect anything from this it is not a blind date just two strangers having fun .Valid kwa waliopo DSM tu. Naomba maombi yaje hapa hapa LIVE yasije kwenye pm ili wengine wasaidie kwenye usaili. Tambua kwamba feedback itakuja hapa hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…