ITs WA SERIKALI WAKUUNGAUNGA?

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
utakuta sites zao ziko otdated sana, matangazo yao kwenye mabango ukienda kupata news za ndani katika site zao NEHI! aaaaagh mnachefua sana, nini maana ya kuwa na website. mfano mzuri ttcl wenyewe, walitangaza kuwa watatoa tarrifs mpya za nafuu zitazokuwa effective kuanzia tarehe moja, lakini naona bado bango lilelile tar. moja wakati ado masaa kumi tu iwe tarehe mbbili! mweh! nimewapigia simu wamesema niende ofisini?!!!!!!! dhis is s***d! biashara au ndy kuajiri watu ambao wote hawana intrst na kuboresha huduma ili kuvunja rekodi ya mauzo? hata mabosi wao wengi ni ngumbaru nadhani.
 
Back
Top Bottom