Napenda kuwajibu wadau kama ifuatavyo Tone Internet Radio ilipo anza sikusema kwa kweli kwa kuwa nilikua kwa majalibio lakini walipo ingia zaidi ya watu 10000 niliamua kupeleka barua TCRA kwa utambulisho na walishangaa na kukili kwamba hii ni Radio ya kwanza kwenda kwa hewa Bila Frequency Nchini Tanzania na imeruhusiwa kuenda hewani bila kipingamizi.. Kuhusu wale ndugu zangu ambao wanatumia simu hivi karibuni nitazindua TONE MOBILE ambapo utapata Radio Bure kabisa kiganjani kwako bila Chenga kabisa. Asanteni sana kwa Niamba ya Tone Internet Radio