We use very simple Technology to Create this Radio station.. we don't have any frequency but we are using internet only... the Radio Broadcasting from Upanga Dar es Salaam.. and u can listen Free.. all over the World.. Enjoy 24/7
To listen Live Click here TONE INTERNET RADIO
Jamani natumia IPhone 4 sasa hiyo button ya play siione au kusikiliza redio kwa ujumla huwa inaniambia safari hawezi ku access saver eti iko mbali haswa clouds radio pia kuna mtu anaweza toa shule jinsi ya ku-download miziki au video bure???? Maana kila mara inanipeleka kwenye itune sasa hapo kuna gharama. Nitashukuru.Tunashukuru sana wadau
Thanx mkuu!!! Na-enjoy music sasa hivi. Will you broadcasting news??
KWA WADAU WOTE WAISHIO NDANI NA NJE YA TANZANIA SASA MNAWEZA KUSIKILIZA ONLINE RADIO BURE KABISA IKIRUSHA MATANGAZO KUTOKA UPANNGA DAR ES SALAAM TANZANIA.
BOFYA HAPA KUSIKILIZA TONE INTERNET RADIO
mkuu na sisi wa simu itakuwaje maana tunapitwa na uhondo wa mambo..Tunashukuru sana wadau tupo pamoja hope na wengine watapata habari hizi Thanks GuysFredy TonyChief Multimedia ArchitectTone Multimedia Company Limited